stickvibration
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 3,223
- 5,150
Habari zenu wana Jamvi naimani wote hatujambo, naomba tuchangie hoja hii kwa wale wanaomini uchawi kuwa una mafanikio au Laah
Na hata kwa wale wasio amini uchawi mnakaribishwa kuchangia hoja zenu
Na hata kwa wale wasio amini uchawi mnakaribishwa kuchangia hoja zenu