PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,716
- 1,842
Habari za mida hii mabibi na mabwana ningependa kufahamishwa tofauti ya neno HOSPITAL na HOSPICE
Kuna movie nilikuwa naicheki lakin cha kushangaza eneo wanapotibiwa wagonjwa ambapo tumezoea kuona pakiitwa HOSPITAL (hospitalini) wenzetu wanapaita HOSPICE
Naomba wajuzi na wataalam wa mambo ya Afya wanisaidie kunielewesha maana ya hili neno HOSPICE.