Vyakula 4 vya kumuongezea mwanamke hamu ya kufanya mapenzi afikapo umri mkubwa

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,581
Wakuu, leo nimeona tusaidiane kupeana maarifa ya kuongeza hamu ya mwanamke kufanya mapenzi sana,hata anapokuwa ana umri mkubwa,yaani kuanzia miaka 50 na kuendelea.

Vyakula hivi vinampa nguvu, hamu na uwezo mkubwa wa yeye (mwanamke mzee) kuweza kusex vizuri bila shida hata kama akikutana na kijana mwenye nguvu nyingi.Hachoki, halalamiki na anakuwa mtu wa kujituma sana saa zote muwapo kazini.

1. Mafuta ya samaki

2. Chai ya kijani (Green tea)

3. Spinach

4. Chocolate

Hii inasaidia kuepusha uchepukaji kwa wanaume ambao wakiona tu wake zao wanachoka haraka, hawana hamu...basi wao hurukia upande wa pili kuendeleza mashambulizi.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom