Tofauti ya kusikia na kusikiliza

Tofauti ya kusikia na kusikiliza

uvugizi

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,351
Reaction score
1,100
Kuna tofauti ya kusikia na kusikiliza

Kila mtu anasikia lakini si kila mtu anasikiliza.

Kusikia ni kupokea kutoka masikioni kwenda moyoni ( nafsini). Kusikiliza ni kutoka sehemu ya nje kwenda katika akili.

Ni kazi sana mwanadamu kusikia ila ni rahisi sana kusikiliza . kama Mwanadamu hajasikia hawezi kuharibikiwa. Mtu huishi kwa kila neno alilolisikia. Mtu yeyote umuonavyo alivyo ndiyo sababu ya kusikia mfano kuumwa kwake, kunywa pombe, nk.

Siku zote katika maisha yako jifunze kusikia na unasikia nini na kwa wakati gani.

Hakuna adui mkubwa tunatembea naye kama Tabia.

Be inspired.
 
Back
Top Bottom