Habari ndugu wazalendo na watanzania wenzangu.
Ndugu zanguni kwanza poleni sana na mkazo wa vyuma unaoendelea, najua mnaumia sana, mimi pia. Huwezi amini imefika mahala hata wife amenambia aanze...
POLISI Mkoa wa Shinyanga, inafanya uchunguzi kuhusu tukio la kupatikana kwa mifupa inayodhaniwa kuwa ni ya binadamu katika Bwawa la Tinde lililopo Kijiji cha Nyambui Kata ya Tinde wilayani...
Maswali mengi ya mezuka baada ya ripoti ya TRA juu yamakusanyo ya tirion 3.65 moja ya maswali hayo wame zikusanya wapi wakati chanzo kikuu cha mapato ni bia na watu awanywi bia siku izi na wengine...
Baadhi ya wakazi wa Tinde mkoani Shinyanga wameokota mifupa inayodhaniwa kuwa ni ya binadamu katika bwawa la Jomu wakati wakitafuta maji.
Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi...
Mkazi wa jijini Dar es Salaam, Robert Massawe (51), ambaye polisi wanadai ni mtuhumiwa wa uporaji na mauaji, ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaodaiwa kuwa ni wahalifu wenzake.
Kabla ya...
Uzuri dunia hii lazima second hand ziwepo, kwa vile wapo wanaotumia vitu kwa mda mfupi na wakihitaji vipya basi huuza vya zamani na kununua latest.
Kwa mfano hizi babywalkers;
Toyota Passo toleo...
Heshima kwenu waume kwa wake, poleni na mihangaiko, na tuendelee kumwombea Mh Tundu ili ile nguvu ya asili (Mungu) izidi kumpa nguvu na afya apate kuinuka tena,
Km kichwa cha habari kinavyosema...
Makonda ajaribu kuwa muwazi tu kwamba hivyo viwanja alivyotangaza kugawa kwa watumishi wa serikali mkoa wake, sio kwamba anagawa ama anauza kwa bei nafuu ukweli ni kwamba anajaribu kuwasaidia wale...
earth quick in Hollywood. Harvey weinstein Hollywood producer mogul anashutumiwa kwa kubaka na kunyanyasa wanawake movie stars ..Mara atake kuogeshwa na mengoineyo Ili wapewe kazi na movies na...
Inafundishwa ndani ya Kuran tukufu kuwa Mungu alipowaambia malaika habari za ujio wa binadamu walikataa. Walimwambia Mungu: "Je, unataka kuleta binadamu ili wamwage damu?"
Mungu alipenda sana...
Hii habari inashangaza sana lakini ni kweli imetokea hapa kwetu Tanzania:
Jambazi Atandikwa Risasi na Wenzake Mbele ya Polisi
Mkazi wa jijini Dar es Salaam, Robert Massawe (51), ambaye polisi...
Mke wa Sheikh Suleiman othman mmoja wa wafuasi wa Jumuiya ya Uamsho wanaoshikiliwa mahabusu Tanzania Bara amejiua kwa kujinyonga.
Polisi Mkoa wa Kaskazini Unguja imesema Rahma Mussa Koki (34)...
Kwanza kabisa ni declare interest ya kwamba niliwahi kuwa padre wa kanisa katoliki. Niliamua kuachana nao kwasababu nilitaka kuoa. Hiyo ni haki yangu. Kwa sasa kitaaluma ni mwanasheria.
Kwa...
Asilimia hamsini na saba hadi asilimia sabini ya watoto wenye umri wa mwaka moja hadi miwili wanaopelekwe katika kiliniki za mkoa wa Singida wamebainika kufanyiwa ukeketaji.
Mwenyekiti Msaidizi...
Habari JF,
Nilikuwa safari hivi karibuni, nilikuwa na gari ndogo, tukio lililonitokea linanifanya nianzishe huu uzi inawezekana yapo mengi na lengo hapa ni kujifunza na kuchukua tahadhari zaidi...
Kufuatia vifo vya watu 12 vilivyotokea leo wakati gari walilokuwa wakisafiria kutumbukia Ziwa Vitoria, News Alert: - MWANZA: Watu 12 wafariki, Watatu waokolewa baada ya Hiace waliyokuwa...
Mwanza. Mkuu wa Shule ya Sekondari Migukulama iliyopo Halmasahauri ya Buchosa wilayani Sengerema, Benerdicto Lweikiza (45) amejinyonga hadi kufa akiwa chumbani kwake.
Taarifa za kujinyonga kwa...