Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wasalaam wakuu. Nikijite kwenye mada. Nimekua mhumini kwa muda mrefu kwa makanisa mbalimbali ila kwa msingi wa hoja yangu sitayataja. Makanisa mengi idadi kubwa ni masikini na wale wenye...
0 Reactions
5 Replies
801 Views
Binti mmoja katika kijiji cha asali na maziwa, kijiji ambachokiimeenziwa kwa misingi ya haki na usawa, kijiji kilichokuwa kimejaawazee wa hekima na busara, kijiji ambacho hakikuruhusu hata siku...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Muungwana kauli na vitendo. Ukisema ushindane na mwenda wazimu utageuka nawe kuwa mwenda wazimu. Ndio maana na matusi yote dhidi ya asili za kiarabu, wenyewe hawana habari wanaendelea kujenga nchi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kitambo kidogo kimepita,nadhani itakuwa kama mwezi hivi,nilisikia taarifa kupitia kwenye chombo chetu kimoja cha habari,nadhani itakuwa ITV, kwamba wazee wasiojiweza wanajengewa makazi bure kule...
0 Reactions
2 Replies
949 Views
Chanjo dhidi ya ugonjwa wa Ebola yafanikiwa Uchunguzi uliofanyiwa chanjo mbili tofauti za ugonjwa wa Ebola umebaini kuwa chanjo hizo zinaweza kumkinga mtu kutokana na virusi vya ugonjwa huo kwa...
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Kufuatia kukithiri kwa matukio ya majanga ya moto mkoani Ruvuma,mkuu wa mkoa wa Ruvuma Dokta Binilith Saatano Mahenge ameziagiza halmashauri za wilaya kupitia idara za ardhi na mipango miji mkoani...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Toka umezaliwa naamini ujawahi na wala hutegemei kusikia au kuona mnyama tofauti na binadamu ama kasuku akitumia ulimi kuongea,kumbe hata MBWA anaebweka,!mnyama huyu kashuhudiwa na maelfu ya...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari wakuu,naomba msaada wenu wa bank ipi naweza fungua akaunti ya watu wawili like baba na mtoto,mke na mume au hata marafiki.Na wanahitaji kuwa na nyaraka zipi? Nawasirisha wakuu.
1 Reactions
8 Replies
6K Views
Idadi kubwa ya watu linapokuja suala la pesa, wapo makini sana na tabia kama kupanga mipango mizuri, kutumia pesa kwa busara na hata ikiwezekana kubana matumizi ili kuhakikisha usalama wa pesa...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
video inayoenea mtandaoni ikisema fisi ameuwawa Ubungo Kituo Cha Mabasi. "Kwa mujibu wa BBC tukio limetokea kahama na sio Ubungo Pia kuna tetesi kuwa huyu fisi ni matokeo ya albadir iliyosomwa...
0 Reactions
43 Replies
11K Views
Mlima Kilimanjaro umeshinda tuzo ya Kivutio Bora cha Utalii Afrika mwaka 2017. Huu ni ushindi wa tatu mfululizo tangu 2015. ====== Arusha — Mount Kilimanjaro, Africa's highest peak, has...
2 Reactions
24 Replies
5K Views
Zaidi ya nyumba 900 zimeteketezwa kwa moto na kusababisha kaya zipatazo 1000 kukosa mahali pa kuishi baada ya kamati ya ulinzi na usalama kwa kushirikiana na wakala wa huduma za misitu nchini...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hivi kwa mtandao wa simu kutuma promotion messages au kupiga simu za matangazo ya huduma zao mpya kwa wateja wao hadi usiku wa manane. Ipo ndani ya vigezo na masharti ya kuwa mteja wa mtandao...
0 Reactions
3 Replies
908 Views
Jamaa anakamata nyoka km kuku yaani, kiulainiiii...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kila siku duniani watoto zaidi ya 20,000 wanafungishwa ndoa wakiwa chini yanumri na kinyume cha sheria Hii ni sawa na watoto milioni 7.5 kwa mwaka kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na benki ya...
0 Reactions
2 Replies
848 Views
Nimemuona Prof. Anna Tibaijuka kupitia youtube aklialamikia kodi ya Tshs.12m kwa ajili ya Shule yake ya Sekondari. Binafsi naungana naye ni kwa nini kuwepo na kodi ya majengo kwa Shule za binafsi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ametoa miezi sita kwa wakuu wa shule za msingi na sekondari nchini kuanzisha madawati ya ulinzi na usalama wa watoto kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana JF sijawahi kufika Nairobi, nataka kwenda kutembea angalau kwa wiki moja, natokea DSM nitumie mabasi gani ambayo yanaaminikaa? Nauli ni bei gani? Ni hoteli gani naweza kufikia kwa mimi wa...
0 Reactions
30 Replies
9K Views
Miaka sita iliyopita, niliandika thread hii Nitafikisha Miaka Mitano Kama Memba wa JF. Utaona kuwa miezi michache ijayo nitakuwa nafikisha miaka 11. Nina mpango wa kufanya sherehe kubwa sana...
20 Reactions
67 Replies
5K Views
Wasalaam! Namshukuru mungu kwa uzima nna uendelevu Wa jukwaa! Kama mwanamaombi Wa nchi yangu nimefika mahali naona haya maombi yanaenda kinyume nyume hali nahisi huenda haya maombi yanaenda kwa...
0 Reactions
2 Replies
845 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…