Watumishi nani wakumfunga paka kengele??

Watumishi nani wakumfunga paka kengele??

KIMAROO

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
453
Reaction score
259
Je ni vyama vyenu?? Umoja wenu au nyinyi binafsi??
Ni nani wakuwasemea kwa Sasa kwamba mnaelemewa na kodi za nyumba Ada za watoto na hata wengine inabidi mkope nauli za kwenda kazini?!
Ni nani wakuwasemea kwamba mmekabwa na yale madeni ya benki,vicoba na saccos??
Ni nani wakuwasemea kwamba nyie ndyo wazalendo wa kweli wa nchi hii maana mliacha private mkaamua kufanya na serikali??
 
Km panya mabaka alikuwa wa kwz kukimbia unafikiri nani atamfunga , watu wanaogopa kuwa kuta yale ya kutolewa meno na kucha.
 
Km panya mabaka alikuwa wa kwz kukimbia unafikiri nani atamfunga , watu wanaogopa kuwa kuta yale ya kutolewa meno na kucha.
So paka wa watumishi hafungiki?? Anatisha?? Mbabe au hafahamiki??
 
Wamchague Sheikh Ponda awe ndio Katibu w Tucta maana kina Nicolas Mgaya na Mukoba wameufaya kabisa hata kukohoa wanaogopa
 
This means watumishi wawe wapole na wawe wenye mbio na mbinu hasa maana paka hafungiki kelele??
 
Fanyeni kazi acheni kulialia Magufuli usiongeze mishahara sababu inawatosha
 
Wamchague Sheikh Ponda awe ndio Katibu w Tucta maana kina Nicolas Mgaya na Mukoba wameufaya kabisa hata kukohoa wanaogopa
Rais wa Tucta, Tumaini Nyamhokya na Katibu Mkuu wa TUCTA, Yahya Msigwa, hawa wote ni wanaccm wenzako mkuu
 
Sasa viongozi wenu watasema nini. Mmeshaambiwa hakuna kupanda kwa mishahara. Nani anayataka ya ulimboka?
Nyie Kama mnaweza andamaneni. Ila kuwalaumu viongozi wenu ni kuwaonea. Kama ninyi mnamuogopa hata wao wanamuogopa.
Mlikuwa na matumaini makubwa nae sasa anawanyooooosha.
Itafikia wakati ukisikia tu jina lake unashikwa na tumbo la kuhara
 
Rais wa Tucta, Tumaini Nyamhokya na Katibu Mkuu wa TUCTA, Yahya Msigwa, hawa wote ni wanaccm wenzako mkuu

Magufuli ni mwana CCM mwenzangu na mwenyekiti wangu lakin huwa namkosoa nikihisi kakosea sasa Hao kina Msigwa Wana immunity gani nisiwakosoe?
 
Kila mtu apambane na hali yake. TUGHE, CWT, TALGWU waachwe waendelee kula michango.
 
Back
Top Bottom