Mende wanaingiaje kwenye friji ikiwa limefungwa??

Snipes

JF-Expert Member
Jul 2, 2013
9,109
16,681
kwema humu???

naomba kufaamishwa mwenye uelewa, hivi mende wanapitiaga wapi kuingia kwenye friji likiwa limezimwa???

nimejipanga kisaikolojia kwa kila aina ya jibu
 
wanafungua mlango kisha wanaingia. kwani hadi hili linataka ufafanuzi kweli?
 
mi pia nilijiuliza mi kwangu nilimuona mende mmoja upande wa juu maana Chini kuna baridi kali kumbe ndani mwisho Kule kuna tundu
 
hii inaonesha ni kiasi gani hao wadudu ni washirikina.
Ukitaka kuwakomesha, ukimwona tu we vua nguo zote halafu toka nje huku unapiga yowe.
wachawi ebooo basi uchawi wao utakuwa wa lumumba
 
Mambo madogo madogo kama hayo unataka nayo tuyaundie tumeee mbna haihitaji masters kugundua uchawi wa aina hiii
 
Mende baadhi yao wana zaliwa kwenye zile mboga mboga plus maji, ila **** wingine wanapita kwenye nyaya ndani hadi ndani ya taa na kuanza maisha.
 
kwema humu???

naomba kufaamishwa mwenye uelewa, hivi mende wanapitiaga wapi kuingia kwenye friji likiwa limezimwa???

nimejipanga kisaikolojia kwa kila aina ya jibu



Hiyo ni furs, nilisikia BBC kuwa kuna mtu Dar anawafuga na kuwauza kwa wingi sana, so make it an opportunity and thank God for that.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom