1)Bila kuridhiana na wananchi wote hataponya majeraha ya wanachi
2)vyama vya siasa ikiwepo chadema wao sio wawakilishi wa wananchi ambao wengi wao sio hata wanavyama wa vyama vya siasa,chadema...
Serikali isafishe eneo la Kata ya Nala iruhusu watu wafuate utaratibu mzuri na mpango mzuri zaidi wa watu 2000 wanaweza kupata kujiajiri, itapata mapato kwa maegesho kwa kila gari linaloingia...
Kijana anayefahamika kwa jina la Ibrahimu Said maarufu kitundu leo Aprili 17, 2026 amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Tabora akituhumiwa kwa kosa la kumuingizia uume...
Je, umewahi kujiuliza mustakabali wa mijadala yetu hapa JamiiForums utakuwaje? Fikiria ulimwengu ambapo kuandika hoja nzito, kufanya utafiti wa kina, na kujibu mada mbalimbali kunakuwa rahisi...
Mahakama ya Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam imemhukumu kifungo cha maisha jela Habibu Nassoro ‘Ngatipula’ (52), mjasiriamali na mkazi wa Kongowe Mzinga baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti...
Wakuu kwema, katika kutafuta riziki, ninatoa huduma ya kusafirisha abiria jijini, magari yangu yote 5 yanaanzia Mbagala kwenda mjini na sehemu nyingine za jiji.
Jana saa 6 usiku nimewapigia...
Mathayo 19:29
Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele...
Naomba kuwasilisha kilio cha muda mrefu cha ukosefu wa maji safi kutoka DAWASA sisi wakazi wa Goba Mpakani Mtaa wa Badilika, yapata sasa mwaka mzima na zaidi hatupati maji, mafundi wanapita...
Kaimu Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), Wilaya ya Karagwe, Eng. Justo Mtabuzi amesema Kata ya Nyaishozi ina Vijiji vitatu ambavyo ni Nyaishozi, Lukale na...
Sisi sote tunajua baadhi ya watu ambao hata kabla ya kumuuliza yeye ameshakwambia kila kitu, hata kukunyima fursa ya wewe kuongea .
Waongeajia wengi wanaamini kwa kuongea kwao wanafurahisha ...
Meja jenerali, Gaudence Milanzi akisalimiana na Maafisa waandamizi wa jeshi la Magereza.
Hivi ni Magereza pekee au majeshi mengine pia huwapigia salute JWTZ
Kero yangu Barabara ndogo ya kwenda Saku Mwisho Kata ya Chamazi - Dar es Salaam, Diwani kaweka matuta ya udogo kuanzia mwezi kwanza ila mpaka sasa hakuna chochote kilichofanyika.
Pia, baadhi ya...
Jumapili January 17 2021
Kwa miezi 12 baada ya Ijumaa ya tarehe 2 Agosti, 2001, hakuna jina lililotawala vyombo vya habari kama la Justine Kasusura, aliyedaiwa kupora dola za Marekani milioni...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KUKAMATWA WATUHUMIWA WANNE WA WIZI WA MABILIONI YA BENKI YA NBC JIJINI DSM
Jeshi la Polisi kanda Maalum ya Dar es salaam linawashikilia watu wanne waliokuwa...
Kwa sababu hii ni taasis inayofanya Biashara, sina haja ya kuivua Nguo, Itoshe kusema; Kulipa wafanyakazi Mishahara katikati ya mwezi unaofuata sio sawa kabisa!.
Kama mnafirisika bora mtangaze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.