Nipe Andiko
Senior Member
- Jan 20, 2017
- 133
- 133
Nimekuwa nikisikia baadhi ya Wakristo wakiimba wimbo wa Taifa kanisani, mfano Kanisa Katoliki. Je unadhani ni sahihi kuimba wimbo wa taifa kanisani?
Ina maana wimbo wa taifa unaimbwa mahali popote au una mahali maalum unapostahili kuimbwa? Sisemi ni dhambi, bali nataka kujua tu, hili jambo limekaaje!
Ahsante.
Ina maana wimbo wa taifa unaimbwa mahali popote au una mahali maalum unapostahili kuimbwa? Sisemi ni dhambi, bali nataka kujua tu, hili jambo limekaaje!
Ahsante.