JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO
Taarifa kwa Umma, 23 Oktoba, 2017
SERIKALI YAONGEZA VITUO 100 KWA AJILI YA KUTOA HUDUMA ZA UCHUNGUZI...
Wakuu,
Kama zaidi ya wiki nne niko wilaya ya Kongwa nikikamilisha utafiti flani ninao ufanya.
Jambo lililonishitua ni ukosefu mkubwa sana wa maji katika wilaya hii hasa maeneo ya sagara...
Hali mjini Mombasa Ukonga imerejea kuwa tulivu baada ya askari kutoka makao makuu kuwasiri wakiwa na silaha kwa ajiri ya kupambana na askari wa ffu waliokuwa wanaleta fujo. Mpaka muda huu askari...
Ni siku ya 4 leo kila nikijaribu ku search millardayo.com server yake inasema haiwezi kuhandle that request,hivi ni mimi tu au hata wewe? Isije ikawa wamekula kichwa waungwana wa Jpm...au mwana...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa PAUL MAKONDA leo ametoa msaada wa Generator ya kisasa, Mabati 150 na Mipira 110 kwa Chama cha Mpira wa Kikapu Mkoa wa Dar es salaam ili kujengea uwezo timu...
Ilipofika mwezi pacha zenye Babu aliyaona mengi katika uso wa Dunia tena baadhi ya yale aliyoyaona yalimtoa sana Machozi ambayo kamwe hakuwahi kuyatoa Tangu aishi.
Babu aliiona damu ikivuja sana...
Tatu mzuka imefanya droo kubwa ya nane ambapo Bi. Rebecca Amos mkazi wa Yombo Vituka amejinyakulia milioni sitini shilingi za kitanzania.
Bi. Rebecca mwenye umri wa miaka 22 aliibuka mahindi wa...
Maandamano ubalozi wa Tanzania, Pretoria kushinikiza kuachiliwa kwa wanaotuhumiwa kueneza mapenzi ya jinsia moja wanaozuiliwa Tanzania.
Source: BBC Swahili
Habarini za muda huu wanajamvi?
Napenda kuuliza, hivi ni studio gani ya radio station (chumba cha kurushia matangazo) hapa Tanzania yenye mwonekano mzuri wa kuvutia na nafasi ya kutosha kwa ndani?
Raia wa Afrika Kusini, wengi wao wanachama wa kundi ya wapenzi wa jinsia moja Afrika Kusini wakiandamana nje ya ubalozi wa Tanzania mjini Pretoria kushinikiza kuachiliwa huru kwa watu 13...
Zoezi la bomoa bomoa katika barabara ya Morogoro kuanzia Kimara Mwisho hadi Kiluvya limekuwa likiendelea. Hata hivyo kuna mambo kadhaa ningependa kuwashauri TANROADS na wananchi wa sehemu husika...
Chokonoa chokonoa ya mh Zitto na mh Nassari inaweza ikawa ni moja ya njia ya kuwatafuta watu wasio julikana hapa nchini Tanzania
Na mimi naimani kwakuwa hawa watu hawajitambui lazima...
Hakika Mwenyezi Mungu ni mkuu.
Habarini za usiku wakuu, binafsi sijambo kabisa.
Niende moja kwa moja kwenye mada, miezi kadhaa nyuma nilikuja humu ndani nikiwa naomba kazi, mods watanisaidia...
Nibaada ya serikali ya hapa kazi tu kuendesha zoezi la bomoaboa hapa Tabora, kitu ambacho kimesababisha kifo cha mama mmoja.
Mama Juliet John amefariki baada ya kubomolewa nyumba yake katika...
Kwa nini hatulisikii jukwaa la wahariri likikemea au kufungia magazeti ambayo mara kadhaa yanaandika taarifa zenye makosa makubwa?
Je tatizo la jukwaa ni weledi au wanaacha kwa makusudi...
Kuna kejeli zinaendelea mitandaoni kuhusiana na serikali yetu kushindwa kulipwa dola bilioni 190 kama ambavyo ilipeleka madai kwa kampuni ya barrick kama malipo ya malimbikizo ya makusanyo ya kodi...