Millard Ayo.

Millard Ayo.

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,494
Reaction score
12,466
Ni siku ya 4 leo kila nikijaribu ku search millardayo.com server yake inasema haiwezi kuhandle that request,hivi ni mimi tu au hata wewe? Isije ikawa wamekula kichwa waungwana wa Jpm...au mwana kaamua kuachana na hiyo site yake?
 
Mwambie tu ukweli kuwa tatizo hilo huja ukiwa umepungukiwa mb

Ni kweli maneno yako mkuu ila na Milardayo kwasasa hio App imekua na Bugs nyingi saana kiasi kwamba inakua slow saana ku load hadi ifunguke
Wangejaribu kui apdate vision yao hio wanayoitumia kwa sasa
 
Angalia wewe,unaongelea MB wakati mi natambaa na GB halaf sijawahi kupungukiwa GB kwenye line zangu,na natumia line 3 tigi,voda,halotel zote ni Full of GB....
 
Vision=version
Apdate=update
 
Angalia wewe,unaongelea MB wakati mi natambaa na GB halaf sijawahi kupungukiwa GB kwenye line zangu,na natumia line 3 tigi,voda,halotel zote ni Full of GB....

Aisee uko vizuri bro ma GB ya kumwaga
 
Back
Top Bottom