Waziri wa Elimu Zanzibar, Riziki Pembe Juma amemsimamisha kazi Mkuu wa shule ya sekondari Mtende

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,512
Waziri wa Elimu Zanzibar, Riziki Pembe Juma amemsimamisha kazi Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Mtende kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi
 
Kubaka ni kuingilia mtu bila idhini yake? Mbona anambaka na yeye anamsimamisha kazi kwa kumbaka bila idhini ya mwalimu
 
Back
Top Bottom