Mhere Mwita
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 235
- 1,275
Nibaada ya serikali ya hapa kazi tu kuendesha zoezi la bomoaboa hapa Tabora, kitu ambacho kimesababisha kifo cha mama mmoja.
Mama Juliet John amefariki baada ya kubomolewa nyumba yake katika eneo la Ng'ambo, umauti umemkuta baada ya kupandisha presha na kufariki hapohapo.
Katibu wa CHADEMA Kanda ya Magharibi Mhe. General Kaduma ameshiriki katika kumsitiri mama Julieta John katika mazishi yaliofanyika hii leo kwenye makaburi ya Molia Rwanzari.