Hivi babake Nape alikuwa nani nchi hii?

Hivi babake Nape alikuwa nani nchi hii?

Alikuwa ni muhamasishaji hatari kutokea yaana mwanapropaganda ndani ya Jeshi la wananchi wa Tanzania.

Na kwenye chama cha Mapinduzi, ndiye aliyemuibua Kaptain John Komba huko Songea na kumuingiza Jeshini kwenye kikundi cha uhamasishaji.

Huyu ndiye aliyemuibua pia Yusuf Makamba yote kwa yote ndiye aliyewahamasisha wanajeshi wetu pale walipopigwa vibaya kiasi cha kukata tamaa kwenye kipigo cha Lukaya ndani ya vita na Nduli
 
Aliwahi pia kuwa mkuu wa mkoa kwa mikoa kama miwili na mmoja wa waasisi wa chama cha mapinduzi
 
Back
Top Bottom