Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimepanda basi la hii kampuni, wakati ninakata tiketi jana walinihakikishia kwamba lina kiyoyozi lakini baada ya kuanza safari mpaka sasa hawajawasha kiyoyozi. Ukiwauliza wanasema watawasha lakini...
8 Reactions
82 Replies
13K Views
Mmiliki wa Amazon awa wa kwanza duniani kwa kufikisha zaidi ya Dollar Bilion 90 Hii ni sawa na trilioni 200 Ambazo ni sawa na bajeti ya Tanzani kwa miaka 6 Tulichukulia bajeti ya trilioni 30 kwa...
4 Reactions
14 Replies
8K Views
Kwanza natoa Pongezi kwa NIDA kwa kunipatia Kitambulisho cha Taifa, na mimi nawatakia kazi njema sana na Mungu awabariki sana maana katika kazi njema lazima Mungu ajitukuze. Ni haki yangu kukitoa...
1 Reactions
42 Replies
7K Views
TANESCO imesema kutakuwa na katizo la Umeme leo Mkoani Kigoma kuanzia saa 3:00 leo asubuhi hadi saa 9:00 alasiri. Soma Zaidi
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna mjadala mzuri kidogo kwa wale tunaofuatila siasa na habari.Inahusu kufungiwa magazeti.Wenye muda tumfuatilie
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu Ktk safari ya kuelekea Mbeya katika eneo la Morogoro nyama choma(Lugeno) pamezuka vijana wanaouza dawa za kuongeza nguvu ktk tendo la ndoa kwa wanaume tena hadharani kwa...
1 Reactions
32 Replies
6K Views
"Una BONUS ZA MB 125! Jiunge sasa na kifurushi cha Internet Mwezi cha MB 500 @8000Tsh kupokea BONUS.Piga *148*00# Vifurushi vya Internet Tu Wiki" Hii ni moja ya sms inayonisumbua zaidi katika...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Je wajua kuna watu 7 pekee duniani wenye funguo za kuanzisha internet upya duniani iwapo kukitokea tukio lolote litakalo sababisha janga kubwa duniani ambalo linaweza zima mtandao. Programme hii...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Kwa heshima kubwa kuwaomba watumishi wa idara hiyo muhimu kutoa haki sawa kwa waajiri na waajiriwa ,hii tabia ya kuegemea kwa waajiri ni kuwakatisha tamaa watumishi hasa wa sekta binfsi na kuanza...
3 Reactions
11 Replies
5K Views
Radi imeua ng'ombe 10 na kumvua mwanamke Koti alilovaa katika Kitongoji cha Itandora wilayani Tarime mkoani Mara, mwenyekiti wa Kitongoji hicho Elias Matto ameliambia gazeti hili kwa njia ya simu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Haiwezekani Umeme bado unakatikakatika halafu bado hatuambiwi hasa tatizo ni nini! Mfano huku kwetu kwanza tulikaa gizani kwa siku 2 mfululizo(masaa 48) baada ya muda ndio ukarudi, tulikaa nao...
0 Reactions
3 Replies
918 Views
Niliandika kuhusu wizi wa vipuli vya magari ulivyoshamiri hapo zamani kidogo, serikali kama ikasiliza kilio cha wananchi wake sana sana wa Dar es salaam, kupitia Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Binafsi nashangazwa sna na nchi hii ya Tanzania! Taifa linalojidai kuwa Lugha yake ya Taifa ni Kiswahili. Mikataba English, Makabrasha Ofisini English, Kadi za Matibabu Eng, kila kitu Eng...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Mara nyingi tumekuwa tukishuudia zana haramu za uvuvi kama nyavu zikichomwa moto hadharani mara tu baada ya kukamatwa, lakini pia Bangi na hata vipodozi vilivyokwisha muda wake wa matumizi. Kwa...
0 Reactions
3 Replies
980 Views
Tulisikia wamekamatwa Polisi 2 tu kuhusiana na tukio hilo la FFU kupiga raia. Lakini askari walioshiriki uhalifu huo ni wengi je Kamanda Mambosasa taarifa imefikia wapi mpaka sasa maana raia...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari ewe kijana mwenzangu! Nimeamua kusitisha zoezi la kupost thread za kisiasa kwa muda usiofahamika, nasasa nitafanya kazi ile ambayo nimeitwa kwayo. Roho wa Mungu kwa msisitizo anasema nami...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Heahima yenu wakuu, Kwa wale wanaotumia barabara ya Mwai Kibaki (Old Bagamoyo), nakushauri utafute njia mbadala. Foleni ni kubwa kiasi kwamba hata bodaboda haipenyi. Sijawahi kuona foleni kubwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mungu si Athumani. Maisha safi mshahara umetoka.Nyumbani package ya chakula safi bila tatizo. Nami nipo mtaani na watumishi wenzangu tunapata Safari ndogo baridi safiiiiiii bila tatizo. Mpunga...
3 Reactions
41 Replies
6K Views
Kutoka kuwa Katibu Mkuu wa Mhimili wa pili wa Bunge hadi kuja kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Vitoweo nchini. Naamini nitapata ushirikiano wenu mkubwa mno wa majibu yenu yaliyo Kuntu kabisa...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Sijui kwann. Mishahara kiduchu ya watumishi wa umma ikitokaga huwa watu wanakula bata sana na kulewa mnoo kwa siku mbili tatu then wanakaukiwa mwezi wote wanakuwa watu wa mizinga tu au kulewa na...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…