Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nahodha wa meli ya mafuta iliyotekwa na iliyokuwa imebeba mafuta ya Iran amesema kuwa kikosi cha majini cha Uingereza kilitumia "kikosi cha ghasia " katika kuiteka meli. Mapema wiki hii, vikosi...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Baada ya miaka minne ya ndoa yetu mume wangu alianza kubadirika, akawa mkali sana, hata nikimtania ananifokea na kuniambia niache utoto, mara kadhaa nilimwandalia chakula lakini alikataa kula na...
2 Reactions
1 Replies
798 Views
Orodha ya Wanawake kumi (10) mashujaa na viongozi bora kuwahi kutokea Tanzania. 10. LITI KIDANKA. Mzaliwa wa Singida Tanganyika miaka ya 1860 na mwaka 1903 aliongoza majeshi ya jadi dhidi ya...
2 Reactions
4 Replies
279 Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, leo Februari 19, 2024 amewasili mkoani Mbeya kwa ziara ya kikazi mkoani humo. Ziara hiyo pia itahusisha ukaguzi wa miradi mbalimbali ya...
0 Reactions
3 Replies
985 Views
Habari ndiyo hiyo, kama unatarajia kwenda popote, badili njia. Hata bodaboda hazipiti
2 Reactions
32 Replies
504 Views
Mnaoenda na wake zenu kwa waganga asilimia kubwa wake zenu wanawazunguka mkiwa hampo majumbani wanaenda kuwatengeneza ili muwanyenyekee akiomba kitu au kukwambia kitu chochote usipinge ukubaliane...
1 Reactions
23 Replies
383 Views
" PEP GURDIOLA ANAZIDI KUTUJIBU KIMYA KIMYA" Unakubidi uwe Mnafiki au labda tu haujui mpira na taratibu zake, kuweza kuamua kutokubaliana na Ukweki kuwa PEP GURDIOLA ndio kocha bora kwa sasa...
9 Reactions
43 Replies
6K Views
Ninayopitia mungu ndie anajua Mniombeee Nimazito mnoo Unseen forces Drained ernegy Naishiwa nguvu Nikionacho sicho Yaan wanakuja watu kwa sura ya mume wangu lakini sio Yote nimeamua kumuachia...
7 Reactions
84 Replies
3K Views
wa Kata ya Milola, Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi (A/INSP) Aloyce Andrew, kwa kushirikiana na wananchi wa kata hiyo, wamefanikiwa kumuua nyoka aliyekuwa akifugwa...
2 Reactions
12 Replies
476 Views
Anonymous
Kero yangu ni selcom penalty, Selcom ulikuja kama mtandao (mobile wallet) mbadala kutokana na kuwa na makato madogo. Ila kwa sasa hali imebadilika umekua ni mtandao wa kukata watu hovyo ukifanya...
2 Reactions
16 Replies
394 Views
nchi 25 zilizostaarabika duniani ziko asia, north amerika na Ulaya, afrika kuna nchi moja tu south afrika halafu waafrika wanataka kufukuza Christians. jamii yenye ukarimu ni jamii ambayo watu...
10 Reactions
63 Replies
696 Views
Najua wengi ni wahanga. Weekend karibuni Tujadili hii mada ulifanyaje ulipoona mshahara hautoshi tena na mahitaji ya lazima, madeni yameongezeka. Hii kada kwa ajili ya waajiliwa mshahara umetoka...
2 Reactions
8 Replies
299 Views
Timu ya Vodacom Tanzania ikiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kukamilisha mabadiliko ya huduma ya M-Pesa kwenda mfumo mpya wa kisasa wa fintech 2.0. Tukio hili limefanyika tarehe 2 Aprili 2026...
6 Reactions
8 Replies
388 Views
Kuna muda mtu unakuwa na mambo mengi hadi unasahau kama upo kwenye "Age go" unaongeza miaka ila ni kama unajiona bado mdogo tu mpaka ukutane na jambo fulani ndio unastuka kumbe umri wangu ushaenda...
13 Reactions
197 Replies
4K Views
waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amesema iwapo atapewa taarifa ya uhakika ya afisa yeyote anayepaswa kuwahudumia...
0 Reactions
1 Replies
162 Views
Habarini wakuu! Natumai mu wazima wa afya. Kuna jambo nimekuwa nikiliwaza kwa muda mrefu sana hawa viumbe wa kike wanaojiuza ila nashindwa kupata jibu stahiki. Mimi ni mtu wa kutembea viwanja...
2 Reactions
81 Replies
20K Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
AFANDE RPC (R)RCO(R)STAFF OFFICER (R)OPP OFFICER (R)OCD MABWEPANDE YAH: TUKIO LA KIFO CHA MASHAKA GBA/IR/142/2021 MLAL: O.A.MSHANGAMA - ASP Mlalamikaji anaeleza kuwa mnamo tarehe 16/1/2021...
26 Reactions
880 Replies
121K Views
Back
Top Bottom