Ni kwanini Wanawake wanaofanya biashara ya kujiuza hawana maendeleo?

mtundu27

mtundu27

Member
78
150
Habarini wakuu! Natumai mu wazima wa afya.

Kuna jambo nimekuwa nikiliwaza kwa muda mrefu sana hawa viumbe wa kike wanaojiuza ila nashindwa kupata jibu stahiki.
Mimi ni mtu wa kutembea viwanja mbalimbali baada ya kazi na sehemu ninazotembeaga 'malaya' huwa wapo tu kiukweli, na cha kushangaza ni kila mara wako katika hali ile ile, yaani ulevi wa kupindukia na kadhalika.

Kuna ambao wanatengeza hadi laki kwa siku kwa kulala na wanaume tofauti lakini siku ukiamua kumnunulia bia mbili tatu, utashangaa anakwambia bado amepanga chumba kimoja.

Embu tusaidianie kujua kwanini hawa watu ambao wengine wanakipato cha zaidi ya ma manager wengi tz kwa mwezi lakini maendeleo yao ni duni.

Karibuni tujadiliane.
 
Last edited by a moderator:
Norshad

Norshad

JF-Expert Member
4,520
2,000
malaya ama makahaba? kuna tofauti kati ya malaya na kahaba mkuu.
 
makilo

makilo

JF-Expert Member
1,542
2,000
nadhani hakuna mwanamke ninae mieshimu kama hawa madada poa naamini wengi hawaifanyi ile kazi kwakupenda,wengi wao ni kutokana na maisha nakuhakikishia ukitaka kuoa oa malaya mana sio limbukeni wa stareh au limbukeni wa zakari.
 
Aisee
 
Carlos The Jackal

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
15,208
2,000
Usishangae sanaaaaa kwa sababu Uharamu huwa hauna maana.!!

Nisawa na pesa za migodin
 
The Transporter

The Transporter

JF-Expert Member
2,653
2,000
Madada poa kumbuka hiyo ndio kazi yao kama wewe unavyokwenda ofisini na amejiwekea malengo wapo makahaba wanaoanzia kujiuza mtaani mpka anajenga na anamiliki vitega uchumi ila ukahaba haachi sema anapanda viwango tu
 
K

kinyama nje

JF-Expert Member
1,735
2,000
Labda Malaya wa kindengrereko wahaya wanakuwa wako vizuri wana save na zungumza kama mteja mtaafu
 
FUTURE HUNTER

FUTURE HUNTER

JF-Expert Member
1,527
2,000
Hela zao zina laana na mikosi na wanayakusanya hayo yote kutoka kwa wanaume mbali mbali.sana sana n kulewa,kula na anasa nyingine
 
inamankusweke

inamankusweke

JF-Expert Member
6,212
2,000
Hela zao zina laana na mikosi na wanayakusanya hayo yote kutoka kwa wanaume mbali mbali.sana sana n kulewa,kula na anasa nyingine
sio suala la laana bali kukosa mipango tu..mbona hela za pombe,ngada,dhulma na ujambazi watu wanawekeza na kuishi vizuri,wakati watu na mishahara halali wanaishia starehe tu!?
 
inamankusweke

inamankusweke

JF-Expert Member
6,212
2,000
nadhani hakuna mwanamke ninae mieshimu kama hawa madada poa naamini wengi hawaifanyi ile kazi kwakupenda,wengi wao ni kutokana na maisha nakuhakikishia ukitaka kuoa oa malaya mana sio limbukeni wa stareh au limbukeni wa zakari.
halafu malaya anajua mwanaume anataka nini,atskuhandle vizuri plus mchezo wanaujua khaswaa
 
FUTURE HUNTER

FUTURE HUNTER

JF-Expert Member
1,527
2,000
sio suala la laana bali kukosa mipango tu..mbona hela za pombe,ngada,dhulma na ujambazi watu wanawekeza na kuishi vizuri,wakati watu na mishahara halali wanaishia starehe tu!?
Mkuu unajua biashara ya ukahaba ina mikosi yake sana.binafsi sijaonaga hata aliyeweza jenga hata ka geto kwa hela ya kuuza k
 
monde arabe

monde arabe

JF-Expert Member
7,476
2,000
Hao Malaya wapo wajanja lkn pia wapo wajinga!
 
Daby

Daby

JF-Expert Member
32,198
2,000
sasa malaya gani anaingiza hizo pesa??

Wengi wanaliwa kwa 20000 siku amepata saana 6000. hapo toa

pesa ya supu asubuhi 2500.

mchana atakula...5000

jioni atakula na kunywa sio chini ya 10000.

atalipa kodi na kununua manukato.

hawana pesayoyote.
 
Forum statistics

Threads
1,425,226

Messages
35,085,100

Members
538,249
Top Bottom