Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Fainesy Matiholo, mkazi wa Tabora Mjini ambaye amekuwa akicheza Tatu Mzuka huku akijuwa kuwa itatokea siku aibuke mshindi basi, siku hiyo ikawa ni Jumapili iliyopita ambapo akaibuka kuwa mshindi...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Nina karibu wiki 3 au 4 sijamsikia Kamanda Sirro, hamu ya kazi imemwishia au? Au anasubiri Tundu Lissu arudi ndo aanze kazi upya:p Nimemmisi tu kamanda wangu jamani, where is he?
12 Reactions
44 Replies
5K Views
Kila mmoja wetu ni shuhuda juu ya wimbi la kuingia wahamiaji haramu ktk nchi yetu, kila kukicha makumi kwa mamia wanapenya kila kona ya nchi yetu. Hao ni wale tu tunao bahatika kuwakamata huenda...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Sina kipaji cha kuandika sana ila nitaeleza kwa ufupi. Ni ukweli usiopingika kwamba kila mtu ana ndoto za kuwa tajiri. Pia nimejifunza kuwa utajiri sio bahati nasibu. Ili kuufikia utajiri...
7 Reactions
23 Replies
4K Views
Ilitakiwa ifanyike kwanza tathmini juu ya hali ya chakula nchini kabla ya mh.waziri mwenye dhamana kutoa tamko ndani ya ukumbi wa bunge. Kauli ya waziri imetolewa kwa muhemko wa kisiasa na...
1 Reactions
41 Replies
6K Views
Jana 15/11/2017 niliibua madudu ya Kamati ya Utendaji ya TFF (EXCOM) kupitisha maazimio ya kulipana posho ya mwezi na vikao tsh. Mil. 438 kwa mwaka. Baada ya taarifa hiyo kusambaa kwenye...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
TRA kupitia kwa kamshna wake mkuu Charles Kichere imesema nyumba za mfanyabiashara Said Lugumi zinazopigwa mnada, hazitoshelezi kulipa deni analodaiwa na mamlaka hiyo. Ametoa kauli hiyo akiwa...
2 Reactions
74 Replies
8K Views
Kumezuka Tabia ya baadhi ya watu kuanza kutoa mahubiri ya dini katika mabasi ya mwendokasi. Ukweli sio sahihi kufanya hivyo kwani kuna watu ambao hawako tayari kuyasikiliza Kwa hiyo...
6 Reactions
128 Replies
14K Views
Kamanda Mambosasa amesema ameagiza Dk Shika ajidhamini na awe anaripoti polisi Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limefikia uamuzi wa kumtaka Dk Louis Shika...
12 Reactions
157 Replies
23K Views
Kuna mtanzania mwenzetu kupitia sanaa alifanya uungwana kwa kutuaga kuwa yeye ameamua kuelekea Zimbabwe miezi kadhaa iliyopita. Tulijiuliza sana kwa nini ameamua "kutoka" Tanzania, mahali...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
wakati ninasoma kuna watu tulikuwa tunawaita wasongolist na wengine tulikuwa tunawaita ma geneous. hawa watu kwa kifupi ni wale watu ambao darasani walikuwa wanafanya vizuli darasani walikuwa...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
SERIKALI imesema ujenzi wa ukuta kuzunguka eneo la mgodi wa tanzanite Mirerani mkoani Manyara ulianza rasmi Jumatatu ya wiki iliyopita na unatarajiwa kukamilika ndani ya miezi sita. Mkuu wa Mkoa...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Shindano hili limeandaliwa na Nafasi Art Space kwa kushirikiana na Twaweza Wanatafuta kazi za sanaa zinazojadili hali ya Demokrasia na Uhuru wa Kiraia (aina zote za sanaa) Andaa kazi yako na...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Kikundi kimoja cha wanajiologia (wana elimu ya miamba) wa Kirusi walikuwa katika mradi wa kutoboa tundu katika eneo la Kola, karibu na Murmansk; maili takriban 150 kaskazini mwa Duara la Aktiki...
4 Reactions
22 Replies
5K Views
Habari wadau, naombeni msaada wa kampuni zinazofanya shipment za bidhaa kutoka nje zinazo agizwa kwa njia ya mitandao mfano Ebay! n.k
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tunakushukuru raisi wetu John.P.Magufuli kwa msamaha wako kwa wafungwa 5,678 kulingana na ilivo zoeleka. -swali ni je? Wale akina Nguza Vikingi, na Papii kocha wamo katika msamaha wa mwaka huu...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwaka 1980, baada ya Zimbabwe kupata uhuru serikali ya nchi hiyo ilituma ujumbe kwenda kuonana na mwanamuziki wa reggae na ambaye ni moja ya wanamuziki maarufu zaidi duniani kuwahi kutokea...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Serengeti. Ndege ya Kampuni ya Coastal Aviation iliyobeba watalii 10 imeanguka na kujeruhi watalii wawili na rubani ilipokuwa ikitua katika uwanja wa Lobo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Kwa Mara ya kwanza wakulima wa zao la korosho wameshuhudia kupanda kwa bei ya korosho mara dufu zaidi ya ilivotegemewa ambapo bei ya dira kwa msimu wa 2016/2017 ni shilingi 1300 wakati mnada wa...
2 Reactions
22 Replies
6K Views
WAJEMENI, hivi kuvunja lile jengo la Tanesco pale ubungo tukajenga flyovers ya uhakika itakayorahisisha barabara zote nne zinazokutana pale ubungo mataa, na kubaki na jengo lile bila flyovers na...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…