Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sina mengi ya kusema Ila Mungu yupo na atendelea kuwepo. Mla Tamu na chungu pia hula. Usikate tamaa siku yako inakuja ukijuma katika Mishe zako.
3 Reactions
13 Replies
190 Views
Yohana 14:6 "Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; hakuna mtu aje kwa Baba ila kwa njia yangu."
2 Reactions
4 Replies
91 Views
Ndugu wanajamii, nataka kuwashauri tuungane pamoja katika adventure ya kupanda mlima Kilimanjaro! Gharama ya safari hii ni Shilingi 700,000 kwa kila mtu, na itafanyika mwezi wa sita. Tutatumia...
16 Reactions
80 Replies
3K Views
Je, umewahi kujiuliza hisia halisi za kusimama juu ya Afrika? Sasa ni muda wako! Tunakupeleka katika safari ya kipekee ya kupanda Mlima Kilimanjaro – "The Roof of Africa" – kwa mpangilio ulio...
0 Reactions
4 Replies
354 Views
Mlima Kilimanjaro ni mlima mrefu zaidi barani Afrika na unajulikana kwa utofauti mkubwa wa mimea na viumbe hai. Kuna maeneo tofauti ya uoto wa asili yanayopatikana katika mlima huu, ambayo...
8 Reactions
12 Replies
1K Views
Msimu wa 10 wa mbio ya Betika Mbeya Tulia Marathoni umezinduliwa jijini Dar es Salaam, huku waandaaji wakilenga kukusanya Sh300 milioni kwa ajili ya kusaidia kuboresha miudombinu ya afya na elimu...
1 Reactions
0 Replies
126 Views
Askofu Yvette Flunder, kiongozi mkuu wa kanisa la City of Refuge United Church of Christ na mkuu wa umoja wa makanisa ya The Fellowship of Affirming Ministries, amezua mjadala mzito baada ya...
0 Reactions
10 Replies
230 Views
  • Redirect
Tume ya Uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29 inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake tarehe 23 mwezi huu (Alhamisi) kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hayo...
0 Reactions
– Replies
– Views
Nianze na mfano wa Hood class limited, Haya mabasi enzi zake kipindi kampuni anaiendesha mzee mwenyewe hood, yalikuwa ni balaa. Ndio mabasi yakwanza kuwa na TV kwa ndani kwa Tz, Ndio mabasi...
13 Reactions
66 Replies
1K Views
Na Mwandishi Wetu Jumba la sanaa la Rangi Gallery la jijini Dar es Salaam limeandika historia baada ya kuwa taasisi ya kwanza kutoka Tanzania kushiriki katika maonesho ya kimataifa ya sanaa ya...
1 Reactions
2 Replies
144 Views
Wizara ya Mambo ya Nje ya Israel imetangaza kuandaa tamasha kubwa la jamii ya LGBTQ+ (mapenzi ya jinsia moja) linalofahamika kama "Pride Land," ambalo linatarajiwa kufanyika katika fukwe za...
1 Reactions
15 Replies
287 Views
SERIKALI HAINA UHALALI WA KUSEMA CHOCHOTE. Inachokifanya ni sawa na (Sio vibanzi bali mnatoe kope za mnaowaongoza huku ninyi mkiwa na boliti machoni). Ni sawasawa na kulazimisha safari wakati...
2 Reactions
2 Replies
158 Views
  • Redirect
Tume ya Uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29 inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake rasmi kwa Rais Samia Suluhu Hassan Aprili 23, 2026. Taarifa hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa...
0 Reactions
– Replies
– Views
Nilikuwa(ga) naumia, kumchukia na kumuonea wivu bure Elon Musk eti tajiri namba moja duniani. Kumbe hela ambayo anayo mkononi cash ni ya kawaida tu hata haipiti billion 2 USD. Kumbe utajiri wake...
8 Reactions
20 Replies
449 Views
Nimekua nikileta kero ya DAWASCO hapa mitaa ya Kimara Suka kutokupata Maji sawa wiki hii sijapost kabisa na hawajafungua. Sasa hawa jamaa watakuwa wanafanya haya mpaka LINI ? Kimara imewakosea...
3 Reactions
7 Replies
182 Views
Rais Samia Suluhu Hassan, akifungua Kongamano la Kitaifa la Mamalishe na Babalishe, Tarehe 21 Aprili, 2026, Dar es Salaam https://www.youtube.com/live/4nzMi7ttDsM
2 Reactions
6 Replies
130 Views
Hapa ni Arusha mataa ya Sakina Triple A / Arusha technical, Ni zaidi ya miezi minne taa hazifanyi kazi. Tunaomba jiji lishughulikie hili tatizo. Majibu ya Mamlaka ~ TANROADS: Taa za eneo la...
0 Reactions
0 Replies
167 Views
Wakati makombora ya jeshi la Marekani yalipochana anga la Iran mwishoni mwa Februari, watu wa Afrika labda walikuwa hawaujui kwa undani zaidi mlango bahari wa Hormuz. Hata hivyo, wamejua haraka...
0 Reactions
2 Replies
172 Views
Mbunge Boniphace Mwita Getere amehoji kuhusu ongezeko la tembo na uwezekano wa kuanzishwa kwa mpango wa uzazi wa mpango kwa wanyama hao. Amesema kuwa tembo huishi kwa muda mrefu, kati ya miaka 60...
0 Reactions
6 Replies
153 Views
Baada ya miaka 20 na panya 1,200, idadi ya panya waliokopiwa ( clone ) ilishuka kabisa. Kwa miongo miwili, mwana sayansi wa kibiolojia Teruhiko Wakayama na timu yake katika Chuo cha Yamanashi...
0 Reactions
2 Replies
124 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…