Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nionavyo mimi ili tume huru ya uchaguzi iwepo na ionekane huru kweli kweli basi lazima Iundwe kwa kufuata Utaratibu ufuatao: Moja kiongozi mkuu asichaguliwe na RAIS. Pili:viongozi au Wafanyakazi...
0 Reactions
4 Replies
858 Views
Wana jamvi habari! Husika na kichwa cha habari hapo juu. Kumekuwa na tatizo la whatsapp toka mida ya saa 3 usiku. Msg haziingii wala hazitoki. Tafadhari tupe mrejesho kwa upande wako
1 Reactions
17 Replies
2K Views
DAR: Mahakama ya Kisutu imewahukumu wafanyabiashara watatu kwenda jela miaka 2 au kulipa faini ya Shs. milioni 9 (milioni 3 kila moja) baada ya kuwakuta na hatia ya kusafirisha madini ya dhahabu...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu leo hapa wilayani ruangwa ndipo yanafanyika maulidi kitaifa lakini umeme bado ni shida. Karibuni wageni wote Karibu sana mheshimiwa makamu wa rais mama samia suluhu Ukiambatana na waziri...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kutokana na kubadilika kwa sera za uhamiaji na idadi kubwa ya wakimbizi wanaoingia Ulaya, baadhi ya nchi zimezuia kabisa wahamiaji toka Afrika kuingia katika nchi zao. Hali hiyo imesababisha...
1 Reactions
4 Replies
938 Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hodi humu wanajamvi.. natumai mu wazima msaidieni ushauri huyu Jamaal yangu div IV ya 17 form 6 anaweza kusoma degree??nitashukuru kwa mawazo mazuri toka kwenu, nawasilisha.....
0 Reactions
4 Replies
917 Views
Mbowe ingawaje simjui zaidi ya kumsoma na kumuona kwenye vyombo vya habari, lkn najua kwamba ameng'ang'ania Uongozi wa chadema na kwamba sababu anazotoa yeye pmj na watu wake n kwamba bila ya yeye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mtumiaji wa mtandao wa kijamii wa Facebook anayetumia majina Kwinyara au Kwinyara Kwintara au Kwinyara Kwinyara ni tapeli mkubwa sana kwa kujifanya ni mfia chama wa chama cha Demokrasia na...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Tuliambiwa Tundu Lisu alikimbizwa Kenya kwa kuhofia Usalama wake, kwamba Madakatari na watu wetu siyo wakuwaamini kwamba wangemmalizia mbali, sasa Je, Makamu wetu wa Raisi asingeweza kummaliza...
3 Reactions
51 Replies
4K Views
Ukifungua redio Clouds kutwa ni kulalamika tuu....kaa kaaa, usiwe kaa usiwe kaa, tubebaneee tubebanee ! Alivyovibeba Ruge inatosha bana mnatokera wasikilizaji wenu na vijembe na mipasho isiyoisha...
6 Reactions
43 Replies
6K Views
MUHIMBILI: Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imefanya upasuaji wa kuhamisha moyo kwa mtoto wa miezi 9 ambaye alizaliwa moyo wake ukiwa upande wa kulia Hii ni mara ya kwanza kwa upasuaji...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa kifupi ni ugonjwa unaoshambulia maeneo ya Uso hasa Mdomo,Oris/oral Mouth ni ugonjwa unaosababishwa na bacteria na kusababisha kukauka/gangrene kwa tissue,ngozi inayozunguka mdomo. Ugonjwa huu...
0 Reactions
0 Replies
46K Views
Jeshi la Polisi Zanzibar, limesema limepokea taarifa ya kuzama kwa boti katika bahari ya Zanzibar, iliyokuwa ikitokea Tanga, kuelekea kisiwani Pemba. ============================= Kikosi cha...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Kuna baadhi ya mambo yanafanyika nchini hasa yale ya kimaendeleo au miradi flani ila utasikia kwa niaba ya Kiongozi flani ndo amewezesha huo mradi au ametekeleza hilo jambo hili naona halisound...
0 Reactions
1 Replies
841 Views
Katika karne ya 21 tunatumia muda na akili nyingi kulalamika tu, kulaumiana na kufuatilia nani kamzodoa mwezake . Yaani hatuna kitu chochote cha maana tunachoanzisha iwe ni wazo au kitu tangible...
3 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kimeokotwa kitambulisho cha taifa maeneo ya KNCU MOSHI MJINI, JIRANI NA PUB ALBERTO. Kwa yeyote anayemfahamu au mwenye taarifa ya muhusika awasiliane na...
1 Reactions
16 Replies
7K Views
Naomba niulize baada ya mkutano wa kumuapisha Uhuru Kenyata, ma rais wengi wali elekea kwenye mkutano wa Africa Union/ European union huko Abidjan, cote d'ivoir tar 28,29 rais wetu wa tanzania...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Nimesikia anataka eti kwenda Libya kuchukuwa Wakimbizi na kuwaleta Unyarwanda, vipi kuhusu hawa waliojaa nchini kwetu? Acha usanii wewe babu, ... Watoto wakimbizi ktk Rwanda walioko nchini kwetu...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…