Hivi huu mkutano wa Africa union/ European Union summit huko Abidjan Tanzania haikuonakuna umuhimu kuhudhuria

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Naomba niulize baada ya mkutano wa kumuapisha Uhuru Kenyata, ma rais wengi wali elekea kwenye mkutano wa Africa Union/ European union huko Abidjan, cote d'ivoir tar 28,29 rais wetu wa tanzania kutokwenda huko ili akutane na viongozi wengine haikuwa na umuhimu au. angalieni picha na video muone ilivyokuwa immependeza.

24172937_10154787178267282_2813438152823578261_o.jpg
24173798_10154787178317282_4100045673067840450_o.jpg
24172937_10154787178267282_2813438152823578261_o.jpg
24173798_10154787178317282_4100045673067840450_o.jpg
 
Attachments

  • 24112234_1679569608762707_4728535375423733760_n.mp4
    1.9 MB · Views: 15
Balozi wetu huko alituwakilisha boss.
Sunajua tena mzee wetu hapendi safari za nje.

Ngoja tusubirie wachangiaji wengine.
 
Balozi wetu huko alituwakilisha boss.
Sunajua tena mzee wetu hapendi safari za nje.

Ngoja tusubirie wachangiaji wengine.
Habari ya wakuu wa nchi useme balozi alituwakilia yule ni size yao au
 
Nilikua na shauku ya kujua ni nani aliyekwenda huko maana sijaona note ya Msigwa.

Pamoja na msimamo wake juu ya safari za nje lakini busara itumike. Mkutano huu ulikua muhimu sana na uliwashirikisha wakuu wa nchi.

Kutembea kwingi ni kujifunza mengi, kuishi kwingi ni kuona mengi.
 
Ngoja kwanza tusimamie ubomoaji wa lile jengo na pia ubungo kimara kupitia kwa kanisa la Gwajima!!
 
Nilikua na shauku ya kujua ni nani aliyekwenda huko maana sijaona note ya Msigwa.

Pamoja na msimamo wake juu ya safari za nje lakini busara itumike. Mkutano huu ulikua muhimu sana na uliwashirikisha wakuu wa nchi.

Kutembea kwingi ni kujifunza mengi, kuishi kwingi ni kuona mengi.

Mkutano hauna umuhimu wowote zaidi ya kutaka kuligeuza bara la Afrika kuwa Free market destination ya bidhaa ya EU.
 
Acha utani kuna umuhimu wa Rais mwenyewe kuwepo (networking) uzungumze na wengine mpange hapo mfahamiane lol

Ni kweli, ila kila kiongozi na aina yake ya uongozi. Ninaamini bado Balozi Mahiga atatuwakilisha vizuri. Hajawahi kutuangusha. Hata nchi za Afrika Mashariki, mpaka jana ni Rais Kagame pekee ndio alikuwepo.
 
Kwani waziri si alienda? Sasa shida iko wapi? By the way, that video was for the Rwandan audience, get rid of it
 
Mahiga atapeta sana kipindi cha mkulu huyu. Maana hizo safari ndo anazipata sana...anafaidi tu kujipatia more exposure...safi sana, mawaziri wenzie ni ofisini au bush tu, safari hii hata gari za mawaziri zimepata safari za kutosha kwenda bush bush huko.
 
Back
Top Bottom