Huduma za WHATSAPP zimesimama kwa muda

Huduma za WHATSAPP zimesimama kwa muda

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
11,059
Reaction score
15,528
Wana jamvi habari!
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Kumekuwa na tatizo la whatsapp toka mida ya saa 3 usiku. Msg haziingii wala hazitoki.

Tafadhari tupe mrejesho kwa upande wako
 
We tupa hcho kimeo
Chako nunua cm ya maana
 
Inawezekana maanana nimeona hata twitter wanasema ni dunia nzima
 
message zinaingia.lakini baadhi ya videos huwezi kudownload.kwenye kifaa changu
 
Kweli mkuu me nlidhani tatizo liko kwangu 2 ila hapa nlipo 2po wa2 tofauti na cm tofauti na wote hvy2
 
Wana jamvi habari!
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Kumekuwa na tatizo la whatsapp toka mida ya saa 3 usiku. Msg haziingii wala hazitoki.

Tafadhari tupe mrejesho kwa upande wako
Oooh!... Wamenifanya mpaka nimehama mtandao![emoji15]
 
Asee nlijua kwangu tu......mpaka nkahisi sina kifurushi japo mb znasoma zero ila bado naperuzi jf kama kawa
 
Uko chap!! Naona umeshakuja kureport, ila sasa zimeeudishwa
 
kwa niaba ya mark zuckerburg tunaomba samahani kwa usumbufu uliojitokeza ,endelea kufurahia huduma zetu

Asante
 
Back
Top Bottom