Ufahamu ugonjwa wa Cancrum Oris Au Noma.

Ufahamu ugonjwa wa Cancrum Oris Au Noma.

Life2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,387
Reaction score
4,880
Kwa kifupi ni ugonjwa unaoshambulia maeneo ya Uso hasa Mdomo,Oris/oral Mouth ni ugonjwa unaosababishwa na bacteria na kusababisha kukauka/gangrene kwa tissue,ngozi inayozunguka mdomo.

Ugonjwa huu wa Noma unashambulia sana watoto na pia huweza kuchangiwa na ukosefu wa lishe bora/malnutrition,Uvutaji wa Sigara/Smoking,Uchafu/poor hygiene,Surua/Measles na pia Maradhi kama vile maambukizi ya virusi vya ukimwi/hiv/aids kwan husababisha kinga za mwili kushuka.

Matibabu yake ni kutibu visababishi na kuzingatia usafi kwa ujumla na pia antibiotiki kwani ni maambukizi ya bacteria.
Kwa kifupi ndo ugonjwa wa Noma huo
1512061592394.jpg
1512061605288.jpg
1512061610585.jpg
 
Back
Top Bottom