Tanesco vipi ruangwa giza totoro na maulidi kitaifa yanafanyika hapa?

Phd Hewa

JF-Expert Member
Oct 3, 2016
572
466
Wakuu leo hapa wilayani ruangwa ndipo yanafanyika maulidi kitaifa lakini umeme bado ni shida.

Karibuni wageni wote
Karibu sana mheshimiwa makamu wa rais mama samia suluhu

Ukiambatana na waziri mkuu wa JMT
Mheshimiwa majaliwa kassim majaliwa

Tanesco Mungu anawaona.
 
Mbona TBC wanarusha mubashara sherehe za maulidi kitaifa kutokea Zanzibar?!!
 
Wakuu leo hapa wilayani ruangwa ndipo yanafanyika maulidi kitaifa lakini umeme bado ni shida.

Karibuni wageni wote
Karibu sana mheshimiwa makamu wa rais mama samia suluhu

Ukiambatana na waziri mkuu wa JMT
Mheshimiwa majaliwa kassim majaliwa

Tanesco Mungu anawaona.
Mkuu inabidi meneja atumbuliwe hakuna namna
 
Attachments

  • IMG-20171122-WA0008.jpg
    IMG-20171122-WA0008.jpg
    66.8 KB · Views: 28
We Upo au umesimuliwa, mama Samia kweli yupo huku? Umeme ulizima tena kwa dk zisizopingua 5 na Sasa hali ni shwari kabisa
 
We Upo au umesimuliwa, mama Samia kweli yupo huku? Umeme ulizima tena kwa dk zisizopingua 5 na Sasa hali ni shwari kabisa
Nyie ndiyo wale watu munaotetea uongo umeme hamna mpaka sasa giza hapa kwenye maulidi ndiyo wamewasha majenereta
 
Back
Top Bottom