Jeshi la Polisi mkoani Iringa limewaua majambazi watano katika eneo la Kware kata ya Ruaha Mbuyuni wilayani Kilolo waliokuwa katika maandalizi ya kuvamia na kupora katika moja ya maeneo ya...
Hii ni documentary ya siku 100 za kwanza alizoingia White House. Obama alikuta nchi iko kwenye mdidimio wa uchumi.
Ukiangalia hatua alizochukua na tubavyofanya sisi hapa kwa kweli hata miaka 1000...
TAMBA KATIKA KUTUMBUA:
Wewe Makengeza, huna akili. Wizara yako ya Mama na Mwana na Babu na Bibi na nani zaidi sijui haina akili pia. Eti, jitambue, Jitumbue. Hapana. Hata kidogo.
No. La hasha...
Nawakumbusha ndugu zangu wapinzani kwamba watanzania ambao mmetumia muda wenu mwingi kuwatetea hawaoneshi kutambua kazi na sacrifice mnazofanya. Kwamfano mnawatetea watumishi waboreshewe maslahi...
Habari wanajamvi!!!! Nina rafiki yangu anataka kuchukua likizo bila malipo,ni mwajiriwa serikalini,idara ya elimu. Je,ni taratibu zipi afuate ili kupata hiyo likizo ya bila malipo? Ameulizia...
Habari zenu wandugu,
natafuta kitabu cha [Hekaya za Abunuwasi] hata kwa kununua ....kikiwa softcopy (pdf) au hardcopy ni sawa tu...ni PM kama unacho tufanye business..
Chukua pop corn, tamthilia yetu inaendelea, hawa ndiyo next in line, naona chadema wamekomaa na kutekeleza ahadi kwa wapiga kura wao, ni kujiteka na kujikamatisha tu kama Tundu Lisu mpaka 2020,..
Wakuu chadema ni moja kati ya chama cha upinzani kilicho imara zaidi nadhani Africa mashariki... Tatizo lililo ibuka sasa hiki chama kimeingiliwa na wachumia tumbo kutoka ccm.... Kuanzia ngazi ya...
Kumekuwa na ile fixed time ambayo ukilipia huduma ya king'amuzi kama ni kwa mwezi basi mwezi ukiisha unakatiwa huduma na hapo utatakiwa kulipia tena pasipo kujali tv umeitumia mara ngapi, hata...
Betri hiyo inatumika kuzalisha umeme wa solar. Hii ni changamoto kwa mikoa ya kati kama Dodoma ambako kuna jua la kutosha kuweza kuzalisha zaidi ya megawatt 100. We should move to solar energy.
Tatizo la maji katika wilaya Serengeti kata ya Kenyamonta kijiji cha Nyagasense ni usanii mtupu, mwaka 2015 mnamo mwezi wa tano waziri wa M
maji Prf. Maghembe alizinduwa mradi wa maji kijijini...
Wamechoka kila mara wanaangalia saa dakika ndo bado kipindi cha kwanza na ndo kwanza Sisi tunapiga zile Pasi za kibrazil aka Samba tukichanganya na mtindo wa total football na zile pasi fupi fupi...
Tanesco wananchi tunapenda kujua kama mgao wa umeme umerudi. Maana eneo la mapinga bagamoyo ni wiki moja sasa tunapata umeme kwa masaa 6 tu kati ya masaa 24.
Kama leo umekatwa siku nzima na...
Wana jukwaa,
Upole na ukimya ulioanza kutawala miongoni mwa abiria waliomo kwenye hiki chombo cha usafiri (lori) yawezekana dereva wa hili lori yupo kwenye spidi kali sana au ni nini...
Wadau
Serikali ya JPM itazindua Kampeni Maalumu ya Kujenga Uzalendo Nchini mnamo tarehe 08/12/2017 huko Dodoma.
Kauli Mbiu Ya Kampeni hii
"TAIFA LANGU KWANZA"
TBC wapo live sasa hivi...
Waziri Luhaga Mpina, amevunja mikataba ya wawekezaji waliokuwa wameingia ubia na kampuni ya Ranchi za Taifa NARCO katika ranchi za Dakawa na Mkata baada ya kushindwa kuendeleza eneo la hekta...
Salaam JF
Ebu leo tusaidiane katika hili, upi ni mtazamo sahihi juu ya
1. Pre destination Life (hatima iliokwisha kupangwa)
2. Worked out destination ( hatima inayotafutwa)
Katika mtazamo...
Naandika nikiwa nina majonzi makubwa sana, ni rafiki aliyekuwa sawa kabisa na ndugu yangu. Nikiwa mtoto kabisa kabisa mpaka utu uzima huu amekuwa ni rafiki wa karibu mno.
Leo katutoka katika...
Habari zenu,
Taarifa zinazovuma ni kwamba wale watumishi wa umma waliokuwa walimu wa leseni wakajiendeleza katika fani nyingine na kufanyiwa recartegorization waraka umetoka kuwa wafutwe kazi,haya...