Kuzuia kuongea na simu ndani ya benki inasaidia?

Nkungulume

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
2,992
2,000
Asalaam aleykum warahmatullah wabarakatuh. Amani ya bwana iwe juu.

Wana jamvi rejeeni kichwa cha habari hapo juu.

Nimekuwa nikitafakari kwa mda mrefu juu ya amri ya kutokuongea na simu ndani ya benk.

Ni kweli kabasa baadhi ya wahalifu wamekuwa wakitumia simu kama nyenzo ya kuwasiliana na wahalifu wenzao ili kutekeleza uhalifu wao kwa wananchi ambao wanachukua fedha nyingi kutoka benk.

Hoja hoja yangu ni kwamba marufuku hii inasaidia kweli?
Hofu yangu ni kuwa mhalifu anaweza akatekeleza uhalifu kwa urahisi zaidi anapotoka kuongea na simu nje.

Mawazo yenu wakuu juu kadhia hii.
 
nyabhingi

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
14,371
2,000
jambazi anayewasiliana na simu anapoingia benki sio mzoefu
mission yote inapangiwa nje mkiingia ndani ni action tu (faces on the floor,hands where i can see them)
 
goldie ink

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
5,656
2,000
simu za mkononi haziruhusiwi kutumika benki na wateja, au wafanyakazi wa benki husika isipokuwa simu za mezani.
 
Nkungulume

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
2,992
2,000
jambazi anayewasiliana na simu anapoingia benki sio mzoefu
mission yote inapangiwa nje mkiingia ndani ni action tu (faces on the floor,hands where i can see them)
Kweli mkuu na mara nyingi wanaotoa habari ni wafanyakazi wa benk wenyewe
 
Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
18,282
2,000
jambazi anayewasiliana na simu anapoingia benki sio mzoefu
mission yote inapangiwa nje mkiingia ndani ni action tu (faces on the floor,hands where i can see them)
Umesahau kuna wateja wanaingia bank na withdraw bulk of money kwao pia ni hatari maana mtu wa ndani anaweza kutoa sign kwa washiriki wenzake kwamba kuna mteja anatoka amevaa nguo fulani na amebeba mzigo wa shiling ngapi bado pia ni hatari
 
nyabhingi

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
14,371
2,000
Umesahau kuna wateja wanaingia bank na withdraw bulk of money kwao pia ni hatari maana mtu wa ndani anaweza kutoa sign kwa washiriki wenzake kwamba kuna mteja anatoka amevaa nguo fulani na amebeba mzigo wa shiling ngapi bado pia ni hatari
huyu atakuwa ni kibaka anayetafuta hela mbuzi
mi nazungumzia organized criminals wanaokomba hela zote za benki,wanaingia na mashine za kivita na wanakuwa na utaalamu wote
 
Nkungulume

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
2,992
2,000
Umesahau kuna wateja wanaingia bank na withdraw bulk of money kwao pia ni hatari maana mtu wa ndani anaweza kutoa sign kwa washiriki wenzake kwamba kuna mteja anatoka amevaa nguo fulani na amebeba mzigo wa shiling ngapi bado pia ni hatari
Sasa mkuu unamzua ndani lakini kama ana nia mbaya si anatoka tu nje tena anaongea kwa uhuru zaidi
 
Mzee wa hat-trick

JF-Expert Member
Nov 21, 2016
1,736
2,000
Inasaidia sana tu, especially kwa wateja wa bulk cash anayetoka kwa bulk cash cashier. Tho ni kwa kiwango kidogo, ila pia inaminimize risk.
Kwa staff pia ni muhimu kutokutumia simu kwa sababu wanaweza kutengeneza mchongo mzima na hata kuwataarifu jamaa kwamba ingieni sasa STRONG ROOM IPO WAZI (imefunguliwa, kuna watu) so inarahisisha muda kuliko wao kuingia na kutafuta wanaoshika funguo za strong room na kuwasubiri wafungue.
Japo ni mara chache sana staffs kuzuiwa kutumia simu, labda wale tellers kwa sababu ni ngumu kuattend mteja huku unaongea na simu zako, na huwezi kuwa na customer care nzuri kwa mteja wkt unaongea na simu zako.
 
Mkuu hivi iwapo anakusudia uhalifu atashindwa kutoka nje na kuongea na wahalifu wenzake.
Na kama hiyo haitoshi bado anaweza kuwasiliana hata kwa sms
 
Mzee wa hat-trick

JF-Expert Member
Nov 21, 2016
1,736
2,000
Mkuu hivi iwapo anakusudia uhalifu atashindwa kutoka nje na kuongea na wahalifu wenzake.
Na kama hiyo haitoshi bado anaweza kuwasiliana hata kwa sms
Anaweza kabisa mkuu, ila makatazo yote hayo ni kwa ajili ya KUPUNGUZA RISK tu, ila haimaanishi kwamba wizi hautakuwepo kabisa. Hapana...!!
 
Sueky

JF-Expert Member
Nov 23, 2017
320
250
Tabia hii inaudhi sana.

Ni bank moja tu ya Azania
Tawi la Katoro Geita ndo
niliona unaweza kuongea kwa simu .
Eko kwao
 
Mzee wa hat-trick

JF-Expert Member
Nov 21, 2016
1,736
2,000
Labda kwa maana hiyo mkuu
Yap. Wizi upo pale pale mkuu. Jamaa wakiamua kweli kuja kuchukua hela zao, huwa ni tendo la dakika chache tu. They won't even last longer. Usiwaoe pale bank tellers wamekaa, pale chini anaweza akawa ana hata mil 70, bado bulk cash cashier, yule ndo ana mpunga mrefu. Sio rahisi sana kufika strongroom kwa sababu ya ufunguaji wake, ila wakifanikiwa ndo daaaah...!!! Hatariiiii...!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom