Ukitaka akili ikuchoropoke, gombea ubunge au udiwani

Hebie

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2012
Posts
1,415
Reaction score
879
Mbaya zaidi ukishinda kiti kimojawapo kati ya hivyo walahi akili inakutoka..

Ukiwa na utimamu unajiliza maswali kama haya

1. Ukiwa mbunge/diwani unawatumikia wananchi wako kupitia tiketi ya chama flani (upinzani) huwezi kuunga mkono juhudi za rais na chama tawala?

2. Unamuungaje mkono rais aliyepo madarakani angali umejivua nafasi ya ubunge/udiwani utatumia wadhifa au nafasi gani kwenye jamii kuwasaidia wananchi?

3. Unamdanganya nani (mbunge/diwani) kuachia nafasi yako eti unaunga mkono juhudi za raisi huku unajua mtaani ni vilio hali imekuwa ngumu sana kiuchumi? vitu vimepanda bei, ghalama za maisha zimekuwa juu, wanafunzi kibao wamekosa mikopo, hakuna ajira, no freedom of speech, ilani ya SSM imeanisha hayo? Kama mnaamini sisi ni wajinga tusiojua kinachoondelea hata sisi wananchi wa hali ya chini tunawaona ninyi ndiyo wajinga kwa kuwa tunajua kinachoondelea.

Nimaalize kwa kusema acheni upimbi, kama umehongwa wewe mbunge au diwani achia ngazi kimyakimya kwani tunajua kinachoondelea.
 
We waache washirikiane kujenga mnara, hao ni wasaliti wetu
 
Kuna siri ya uhamaji wao itajulikana tu.Mungu huwa hamfichi mnafiki. Kuna jambo tu,siyo bure.
Siri ya uhamaji wao aliisha tuibia Nasari tukajua kinacho endelea ni aibu sana kutumia fedha za umma kufanyia ushetwain kama huu,nawalaaniwe wote wanaohusika na huu mchezo mchafu.
 
Katika ugiriki ya kale wanasiasa walikua wanajulikana kwa tabia yao ya kutoa rushwa ili waendelee kubaki madarakani au wapigiwe kura.

Rushwa iliyopendelewa zaidi ni kuandaa pambano la gladiators kisha kuulipia ukumbi mzima kiingilio.
 
Mbaya zaidi ukishinda kiti kimojawapo kati ya hivyo walahi akili inakutoka..

Ukiwa na utimamu unajiliza maswali kama haya

1. Ukiwa mbunge/diwani unawatumikia wananchi wako kupitia tiketi ya chama flani (upinzani) huwezi kuunga mkono juhudi za rais na chama tawala?

2. Unamuungaje mkono rais aliyepo madarakani angali umejivua nafasi ya ubunge/udiwani utatua wadhifa au nafasi gani kwenye jamii kuwasaidia wananchi?

3. Unamdanganya nani (mbunge/diwani) kuachia nafasi yako eti unaunga mkono juhudi za raisi huku unajua mtaani ni vilio hali imekuwa ngumu sana kiuchumi? vitu vimepanda bei, ghalama za maisha zimekuwa juu, wanafunzi kibao wamekosa mikopo, hakuna ajira, no freedom of speech, ilani ya SSM imeanisha hayo? Kama mnaamini sisi ni wajinga tusiojua kinachoondelea hata sisi wananchi wa hali ya chini tunawaona ninyi ndiyo wajinga kwa kuwa tunajua kinachoondelea.

Nimaalize kwa kusema acheni upimbi, kama umehongwa wewe mbunge au diwani achia ngazi kimyakimya kwani tunajua kinachoondelea.
Mabilion ya walipa kodi ambao wanahangaika kufuata huduma ya majin10 km yanatumika kununua wapinzani halafu mpumbavu mmoja anajinasibu kuwa tupapane na rushwa!? idiotic mind.kwa kweli
Ndugu zangu hakuna kitu kinanitia kichefuchefu kusikia ati mtu ananunuliwa! Something is wrong na sie watanzania. Kununua mtu ni utumwa na siamini kama mtu mzima anaweza kununuliwa ila kama ni kuhongwa. Kuna tofauti kubwa Kati ya kununuliwa na kushawishiwa (kuhongwa nk). Cc mshana jr
 
Mbaya zaidi ukishinda kiti kimojawapo kati ya hivyo walahi akili inakutoka..

Ukiwa na utimamu unajiliza maswali kama haya

1. Ukiwa mbunge/diwani unawatumikia wananchi wako kupitia tiketi ya chama flani (upinzani) huwezi kuunga mkono juhudi za rais na chama tawala?

2. Unamuungaje mkono rais aliyepo madarakani angali umejivua nafasi ya ubunge/udiwani utatua wadhifa au nafasi gani kwenye jamii kuwasaidia wananchi?

3. Unamdanganya nani (mbunge/diwani) kuachia nafasi yako eti unaunga mkono juhudi za raisi huku unajua mtaani ni vilio hali imekuwa ngumu sana kiuchumi? vitu vimepanda bei, ghalama za maisha zimekuwa juu, wanafunzi kibao wamekosa mikopo, hakuna ajira, no freedom of speech, ilani ya SSM imeanisha hayo? Kama mnaamini sisi ni wajinga tusiojua kinachoondelea hata sisi wananchi wa hali ya chini tunawaona ninyi ndiyo wajinga kwa kuwa tunajua kinachoondelea.

Nimaalize kwa kusema acheni upimbi, kama umehongwa wewe mbunge au diwani achia ngazi kimyakimya kwani tunajua kinachoondelea.

umesahau kuoa mwanamke mpumbavu...
 
Hadi WEMA SEPETU KAREJEA NA AKATEMWA!!!!!,,,,,?????
Kweli tusigombee hata uwenyekiti wa kitongoji[emoji1321]
 
Back
Top Bottom