Hivi kuna uhusiano gani kati ya maji ya Kilimajaro na Serikali?

kyagata

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
1,755
2,000
Habari za mihangaiko wakuu?

Nimekua nikifuatilia mara kwa mara warsha, sherehe au hata semina zinazousu serikali. Kila inapotokea kuna shughuli yoyote ya kiserikali basi utakuta pale meza kuu maji yiliyowekwa ni Kilimanjaro pure drinking water.

Sijawhi kuona shughuli yoyote ya kiserikali wameweka maji ya uhai, safina, masafi etc.
Hivi kutakua na uhusiano gani kati ya serikali na hayo maji ya kilimanjaro?
 

Dragoon

JF-Expert Member
Nov 24, 2013
7,032
2,000
habari za mihangaiko wakuu?
nimekua nikifuatilia mara kwa mara warsha,sherehe au hata semina zinazousu serikali,kila inapotokea kuna shughuli yoyote ya kiserikali basi utakuta pale meza kuu maji yiliyowekwa ni kilimanjaro pure drinking water,sijawhi kuona shughuli yoyote ya kiserikali wameweka maji ya uhai,safina,masafi etc.
hivi kutakua na uhusiano gani kati ya serikali na hayo maji ya kilimanjaro?
.
Hahahaaa. Umenikumbusha mbali. Kuna kipindi tulikuwa tunayaita maji ya uhai kuwa ni maji ya kunawa!
Mzee, kila mtu anayapenda maji ya Kilimanjaro, hata wewe ukiwekewa aina zote za maji bongo uchague nina hakika utachagua kilimanjaro. Labda ni sababu ya ubora wa maji yao, au kwa sababu ya jina tu.

hata hivyo maji haya hayana ubia wowote na serikali au chombo chochote cha serikali.
 

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,018
2,000
kilimanjaro the highest quality in tz hakuna nyingine, siku hizo kabla ya dasani kubadili label mimi nlikuwa ikinywa naumwa tumbo ilinikataa nafikiri mchanganyiko haukuwa mzuri ndio maana hata wazungu ukija arusha wote wanaoenda porini hawanywi maji tofauti na Kilimanjaro.
 

dabluz

JF-Expert Member
Feb 28, 2013
2,407
2,000
Mi nadhani ni brand na pia yeye ndio alikuwa wa kwanza kushika soko.
Kuna uwezekano tender za mwanzo kabisa alizikamata yeye. Kwahyo mazoea yanaendelea.
 

msumeno

JF-Expert Member
Aug 3, 2009
2,833
2,000
Hapa ni Rwenzori mkuu, piga ua , jana niliwakiwa hapa office baada ya kununua maji ya brand isio hiyo kwa matumizi ya office......
 

worms

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
815
1,000
Hata mimi tu nikinunua maji huo naulizia kilimanjaro kwani hua naona ni salama zaidi... sijajua hii imejijenga lini lakini maji kilimanjaro huo yanasifika kwa hadhi na wengi huyachukulia hivyo
 

share

JF-Expert Member
Nov 22, 2008
4,985
2,000
Habari za mihangaiko wakuu?

Nimekua nikifuatilia mara kwa mara warsha, sherehe au hata semina zinazousu serikali. Kila inapotokea kuna shughuli yoyote ya kiserikali basi utakuta pale meza kuu maji yiliyowekwa ni Kilimanjaro pure drinking water.

Sijawhi kuona shughuli yoyote ya kiserikali wameweka maji ya uhai, safina, masafi etc.
Hivi kutakua na uhusiano gani kati ya serikali na hayo maji ya kilimanjaro?

Ni viwango tu. Wewe hujajua hili?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom