Sasa ndipo watakwenda kujifunza ule msemo kuwa ujana ni maji ya moto uzee wanyemelea.
Now watakwenda kujua tofauti ya matumizi ya muda wao wakati wa ujana kujirusha na kila mwanaume anayekuja mbele yao, kuuza sura Instagram, kukaa wakiwekeza pesa kwenye mambo ya kipuuzi badala ya maendeleo na badala yake wajue kuwa maisha si kufanya ujinga ujinga. Wakati wenzao wanajielimisha na shule, wanasoma, wanatafuta wanaume serious wa kuwachumbia na wameolewa now wanawatoto na familia zao zinaendelea poa, wao walikuwa busy kuchomoa ujauzito, kuuza sura na kuishi as if kila siku wana miaka 16. Pumbavu hawa