Kuondoka kwa Matagi kwazua shangwe Arusha: Bar zafurika, wananchi wafurahia uhamisho
ARUSHA — Hatua ya kuhamishwa kwa aliyekuwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Arusha (OCD), Georgina Matagi, imezua...
Sioni faida ya hawa mapolisi kupiga kwata na mazoezi kila uchwao kama mtu tu wa kawaida ambaye amedhoofika vile amemtandika kisawa sawa askari.
Najiuliza , je angekuwa mtu wa mazoezi / body...
Mtoto wa miaka 14, jina limehifadhiwa, anayedaiwa kusafiri kutoka Morogoro kwenda Zanzibar kumfuata mama yake mzazi, amedai kubakwa ndani ya Meli ya Azam Sealink namba mbili na mfanyakazi wa...
Leo ukitembelea magoli ya watu wenye biashara zao, ni machafu hakuna conducive environment na hospitality.
Mm huwa nashangaa hivi nyie wamatumbi huwa hamwoni namna bora ya kumfanya mteja ajihisi...
Dodoma ni eneo ambalo serikali inahamia kwa kasi lakini wananchi wenyeji wake Wagogo na Warangi wanaonekana wamelala sana
Huwezi kujivunia kwenu kunajengwa halafu hunufaiki nako, wanaonufaika ni...
Inajirudia Kila baada ya muda
Ndege ni kubwa sana ya abiria.kama hizi za mashirika makubwa hizi Boeing
Inapoteza muelekeo na kuangukia kuelekea chini na mlipuko wake mkubwa hauachi kitu.
Ni...
Naweza kuonekana mwendawazimu kwa hii mada lakini wenye kuona mbali wataona mantiki yake!
Ni hili la majeneza ya kukodi na makaburi ya kupanga..Maisha yanaenda kasi sana na mabadiliko mengi...
Kwa miaka Mingi Arusha na Dar zilikosa Washindani wao hapa Tanzania ila Kwa Sasa kuibuka Kwa Jiji la Dodoma kumeanza kuificha Arusha.
Utawala wa Jiji la Arusha(Geneva of Africa) imefunikwa Kwa...
Licha ya kuwa busy na majukumu ila siwezi kuona message ya mtu alafu nikaamua kukaa kimya bila kujibu.
Yamegeuka madhara kwangu naumia sana pale mtu napomtumia message alafu achele kujibu...
Hii ni habari ngeni kabisa kwa wale watakaobahatika kusoma hii mada na pia wale wenye kupenda kujifunza vitu vipya ni sanaa ya kifo katika uhalisia wetu bila kuchanganya na doctrines za kiimani na...
Mpanda – Katavi
mkoa huu ni miongoni mwa mikoa mipya, hivyo miundombinu ya kiutawala, biashara, huduma za jamii na uwekezaji bado inaendelea kujengwa.
Pamoja na kuwa na fursa kubwa katika...
Imagine makamu wa Rais anajiudhuru kihuni kihuni tu,kamasio uhuni ni nini?,baada ya kujiudhuru haieleweki yupo wapi, hajakabidhi ofisi,hajaonekana kizimkazi,huyu kimama ataishi kama digidigi na...
Jeshi la Polisi linafuatilia kwa karibu tuhuma zilizotolewa na mwananchi mmoja ambaye jina lake linaendelea kufuatiliwa akiwatuhumu askari wawili kupitia mitandao ya kijamii kuwa walimfuata...
https://www.youtube.com/watch?v=W05IF22nAfI
Kupitia YouTube, Kapteni Tesha anaanza kwa kusema..
"Habari za wakati huu watanzania Kwa majina naitwa K Tesha afisa kutoka jeshi la wananchi wa...