Kwanini Watanzania hukaa kusubiri mtu ashindwe?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Hivi ni kwa nini tuko hivi? Mara nyingi ni kama Maisha yetu yote yamezungukwa na unafiki na visasi, wakati mwingine huwa nafikiri huwa hatuna cha kufanya isipokuwa kukaa na kusubiri Binadamu xyz ashindwe kufanikiwa kwenye jambo lake halafu tuanze misemo, mara sijui Mungu halali, utasikia malipo hapa hapa Duniani, mara kiko wapi? Ni kwa nini tuko hivi lkn? Nimebahatika kukutana na jamii mbali mbali Duniani lkn sijawahi kukutana na tabia kama hii!

Kwenye jamii nyingine kuna tofauti kati ya Mwanamke na Mwanaume hasa kwenye tabia, kwamba Wanawake wanaongea sana na Wanaume ni wakimya na hutumia logic wakati Wanawake hutumia emotions, lkn kwa Tanzania hii tofauti hauioni, kwa kweli hakuna tofauti kati ya Mwanamke na Mwanume ukiondoa viungo vya mwili, yaani kwa kusoma tu watu wanavyoandika hauwezi kujua kama ni Mwanamke au Mwanaume mpaka umuone, angalia washabiki wa Mangi Kimambi huwo ni mfano mdogo tu, huyo Mwanamke anaandika mambo kike yaani umbea, lkn washabiki wake ni Wanaume, jamii nyingine huwezi kukuta kwa mfano the Kardashians wakawa na washabiki Wanaume, labda magay siku zote wanaofwatilia the kardashians ni Wanawake, lkn kwa Tanzania ni tofauti!

Ni ajabu Tanzania tuko mstari wa mbele kupinga ushoga, lkn sehemu kubwa ya Wanaume wana tabia za Kike, hii ni paradox, ...
 
Wala hatutaacha kumwambia ukweli huyo unayemwabudu badala ya Mungu. Kama unadhani mipasho itatuondoa kwenye mstari unajidanganya. Yeye akisimama ni matusi na masimango kwa Watanzania, Mara vyuma vimekaza tuweke grisi Mara tutahama wote Dar es salaam wabaki wanaume!! Kama hataacha maneno ya shobo na ukatili hatutaacha kumwambia labda mfungie mitandao yote lakini hata chooni tutasema. Mkifungia mitandao tutaandika vikaratasi na kuwatupia barabarani. Wewe na kundi lako hamtaki mawazo mbadala kama alivyo "mungu" wenu, mtu alitoa wazo tofauti ni msaliti, fisadi, kahaba, hapendi maendeleo nk. HATUACHI!
 
Sasa ulivyoandika kama ukimuuliza mtu Jinsia yako hawezi kusema kama ni Mwanaume au Mwanamke mpaka akuone, lkn jamii nyingine unaweza kutofautisha jinsi mtu anavyoandika na unaweeza kusema kama huyu ni Mwanaume au Mwanamke, na ndicho ninachomaanisha!
 
Kwani asiyejua ulimaanisha nini nani? Wadanganye Lumumba mlioshikiwa vichwa siyo watu wanaojitambua. Bora mimi nisiyejulikana jinsi yangu kuliko wewe mali ya "WATU"
 
Tuko kama tulivyo mkuu, tumeshashindwa kabla ya kujaribu hivyo hatupendi kuona mtu akijaribu. Na akijaribu tutamtabiria mabaya.Si anajifanya hodari.!!! Hatuna uthubutu ingawa ni walalamikaji wazuri tu.
 
Kawambie kuwa yaani tunawasubiri sana washindwe tena kwa jina la Yesu kabisa mkuu, wakishindwa wao ndo tunakuwa washindi sisi!! Sasa nani asotaka kuwa mshindi? Afu we umejuaje ya Mange kimambi kama we pia sio shabiki wake!!?
 
Hivi ni kwa nini tuko hivi? Mara nyingi ni kama Maisha yetu yote yamezungukwa na unafiki na visasi, wakati mwingine huwa nafikiri huwa hatuna cha kufanya isipokuwa kukaa na kusubiri Binadamu xyz ashindwe kufanikiwa kwenye jambo lake halafu tuanze misemo, mara sijui Mungu halali, utasikia malipo hapa hapa Duniani, mara kiko wapi? Ni kwa nini tuko hivi lkn? Nimebahatika kukutana na jamii mbali mbali Duniani lkn sijawahi kukutana na tabia kama hii!

Kwenye jamii nyingine kuna tofauti kati ya Mwanamke na Mwanaume hasa kwenye tabia, kwamba Wanawake wanaongea sana na Wanaume ni wakimya na hutumia logic wakati Wanawake hutumia emotions, lkn kwa Tanzania hii tofauti hauioni, kwa kweli hakuna tofauti kati ya Mwanamke na Mwanume ukiondoa viungo vya mwili, yaani kwa kusoma tu watu wanavyoandika hauwezi kujua kama ni Mwanamke au Mwanaume mpaka umuone, angalia washabiki wa Mangi Kimambi huwo ni mfano mdogo tu, huyo Mwanamke anaandika mambo kike yaani umbea, lkn washabiki wake ni Wanaume, jamii nyingine huwezi kukuta kwa mfano the Kardashians wakawa na washabiki Wanaume, labda magay siku zote wanaofwatilia the kardashians ni Wanawake, lkn kwa Tanzania ni tofauti!

Ni ajabu Tanzania tuko mstari wa mbele kupinga ushoga, lkn sehemu kubwa ya Wanaume wana tabia za Kike, hii ni paradox, ...
Tuombe radhi, usigeneralize .
 
Huwezi mfananisha mange kimambi na kardashian, huyo kardahian ni "celebrity" lakini kimambi ni "activist". Ni kweli style ya uandishi wa mange imekaa kimbeambea kama tu vile story za kinadada wakiwa saluni, lakini katikati ya hizo porojo hua kuna taarifa za muhimu na zilizojaa ukweli ambazo huwezi kuzipata kwingine kwakua ni siri ambazo mange ana vujishiwa. Watu wenye akili hawamfuati uli kusikiliza umbeya na kusutana bali wana okota yale madini yaliyo katikati ya hizo pumba za mange.
 
Watanzania wengi hatujuhi logics ndo maana na uwezo wetu wa kufikili uko chini yawezekana kuliko wa wanadamu wengine
 
Wala hatutaacha kumwambia ukweli huyo unayemwabudu badala ya Mungu. Kama unadhani mipasho itatuondoa kwenye mstari unajidanganya. Yeye akisimama ni matusi na masimango kwa Watanzania, Mara vyuma vimekaza tuweke grisi Mara tutahama wote Dar es salaam wabaki wanaume!! Kama hataacha maneno ya shobo na ukatili hatutaacha kumwambia labda mfungie mitandao yote lakini hata chooni tutasema. Mkifungia mitandao tutaandika vikaratasi na kuwatupia barabarani. Wewe na kundi lako hamtaki mawazo mbadala kama alivyo "mungu" wenu, mtu alitoa wazo tofauti ni msaliti, fisadi, kahaba, hapendi maendeleo nk. HATUACHI!
Wewe ni mwanamke au mwanaume??
 
Ngoja nijibu hiyo paragraph ya juu. Hapo kwenye roho ya husuda inaangaliwa mmefungamana katika fungamano gani, kama mkifungamana katika fungamano la kishetani lazima mtaoneana wivu katika mafanikio lakini mkifungamana kiitikadi hamta ombeana mabalaa. Mfano huwezi mkuta Sheikh au Padri aliyeshika itikadi vizuri akiyafanya hayo uliyoyasema.
 
Ni Kweli % Ya Wa Tz Hawapendi Mwingine Aendelee Wana Chuki , Wivu , Wanapenda Uanguke, Uachwe, Nk Mungu Atusaidie Tuondokane Na Tabia Hii
 
Back
Top Bottom