Hakuna, haijawahi kutokea na haitokuja kutokea hata Tanzania yetu!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Hakuna nchi Dunia hii iliyowahi kuandika Katiba mpya bila ya kuwa na crisis, na TZ haiwezi kuwa tofauti hivyo acheni kujidanganya, halijawahi kutokea na halitakuja kutokea, kusubiri Katiba mpya TZ ni sawa na kumtamani Mwanamke aliyeolewa na kusubiri siku Mume wake akifa ndo umpate, tafuteni hela acheni ujinga, hakuna Katiba mpya TZ, ...
 
Tuingie msituni Na John Komba
images-1.jpg

R.I.P Cpt......
 
Hakuna nchi Dunia hii iliyowahi kuandika Katiba mpya bila ya kuwa na crisis, na TZ haiwezi kuwa tofauti hivyo acheni kujidanganya, halijawahi kutokea na halitakuja kutokea, kusubiri Katiba mpya TZ ni sawa na kumtamani Mwanamke aliyeolewa na kusubiri siku Mume wake akifa ndo umpate, tafuteni hela acheni ujinga, hakuna Katiba mpya TZ, ...
Crisis ipi hiyo unaongelea kaka...
 
Back
Top Bottom