Msaada

Msaada

gery360

Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
78
Reaction score
102
Kwanza kabisa natanguliza shukrani zangu kwenu, na bila kupoteza muda twende kwenye mada. Nahitaji msaada kwa yeyote anajua ni bus gani ziko poa kwa safari ya DSM-MBY, kwasab nasikia saiz vimeo ni vingi barabarani.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom