Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jeshi la Polisi limemefanikiwa kuwakamata watu watatu wanaojihusisha na njama za wizi wa pikipiki hapa Dar es salaam wakiwamo mabinti wawili wa miaka 19. Mabinti hao wanatumiwa kama chambo...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Kama mahakama zetu ni huru kweli, kwa kinachoendelea hapa kwetu na vyombo vya kusimamia sheria na utekelezaji wake, Serikali haipashwi kushinda kesi hata moja. It is totally a lawless business on...
1 Reactions
0 Replies
959 Views
Wakuu poleni na mihangaiko, Kuna jamaa zangu kadhaa mwaka huu wamelima zao la fiwi huko maeneo ya upareni, kama kilimo cha biashara. Zao hili ni moja ya mazao ya biashara yanayolimwa maeneo hayo...
0 Reactions
28 Replies
14K Views
Imekuwa kawaida sana kwa mashirika ya jamii kutuhumiwa kwa kutokutimiza wajibu wao ipasavyo. Mashirika hayo yametuhumiwa mara nyingi kwa kuwa na usiri usio wa lazima, ikiwa ni pamoja na...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Wadau, Hii ni habari mbaya ya kusikitisha Mwalimu Samweli Mariba Daniel (29) amekamatwa na kufikishwa katika Mahakama ya Wilaya Tarime kwa tuhuma za kubaka wanafunzi wake 9 wenye umri chini ya...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Wangwana, Nina wasiwasi kwamba, kasi ya idadi ya watu, ni sawa na kuchotea maji kwenye tenga. Sina uhakika kama wachumi waliomo kwenye mfumo wa utawala wanaliona hili. Na kama wanaliona, sina...
9 Reactions
47 Replies
4K Views
Wapendwa kuna hii benk ya mwingia inaitwa efwata..kumekuwa na maneno mengi yakiongelewa na ntumishi kuhusu mh ambilikile wa loliondo tapeli..nk..sasa najiuliza yule babu na 500 unapona na huyu...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Kama ulikuwa unatarajia kwenda Kilimanjaro au Arusha, yafaa uahirishe safari yako kama hujakata tiketi mpaka sasa, kwani mabasi yote yamejaa Pia ukipanda mabasi ya daladala ambazo zimeruhusiwa na...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Nipo ubungo nikijaribu kutafuta usafiri wa kwenda kwetu, nashukuru sasa nimepata ticket ambayo nitasafiri kesho kutwa. Haikuwa rahisi kuipata hiyo ticket ila baada ya kuficha makucha yangu...
0 Reactions
1 Replies
744 Views
*Yasuke Shuja, Samurai Mtanzania aliyeitikisa Japan Mwaka 1582-5* Kijana Yasuke alifika Japan Mwaka 1579 akiwa mfanyakazi Wa Padre Wa Kikatoliki wa shirika la Jesuit aitwae Alessandro Valignamo...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Kama picha hapo chini imavyojieleza, binafsi nakerwa sana ninapotumiwa hizi meseji za Kamari wakati binafsi sijawahi na sina muda wa kicheza kamari, imagine watu wa Forex nao wakaanza kutuma...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
IF YOU SUPPORT ISRAEL OCCUPATION IT MEANS YOU SUPPORTED APARTHEID POLICY IN SOUTH AFRICA ......................................... BREAKING: 128 UN member-states vote to reject U.S. recognition of...
1 Reactions
0 Replies
469 Views
Blood wanted urgent 0 Negative Ongoin operation needs 1 to 2 pints urgently Contact 0787713336
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wana JF, natumai nyote wazima na kama kuna yoyote hayupo sawa basi Mungu awe naye arudi kwenye afya yake ya zamani Nilikuwa naomba yoyote mwenye kitabu cha WHEN WE RULED BY ROBIN WALKER...
0 Reactions
0 Replies
824 Views
Kiwanda cha nguo cha urafiki kwa kushirikiana na kampuni ya udalali ya Yono imewatoa zaidi ya wapangaji 100 katika nyumba zinazomilikiwa na kiwanda hicho kutokana na kudaiwa kodi ya pango la zaidi...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
1. Dini Hii ilikua njia kuu miaka ya 1900 kurudi nyuma ambayo ilitumika ili kudumaza race ya waafrika ambayo ingeweza kuwa tishio kwa dunia. Baada ya wahusika kuona uwezekano wa kutawaliwa na...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Wakuu Niko hapa ofisi za NSSF Ilala karibu na Mwalimu Complex nafuatilia mafao yangu baada ya kuachishwa kazi katika kampuni moja ya kichina mwaka mmoja uliopita. Lakini hali iliyopo hapa, watu...
8 Reactions
66 Replies
8K Views
Habari...naomba tushirikishane,je mikoa ipi/ wilaya zipi nzuri kwa kufanya biashara. Ondoa Dar. Na pia naomba mwenye ile chati inayoonesha data za hali ya uchumi kwa kila mkoa. Asanteni na...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wadau, Jana Mahakama ya Kisutu Dsm,ilitoa hukumu kwenye kesi ya madai ambapo Mkurugenzi Wa hamlshauri ya Mbinga aitwaye Gombo akituhumiwa kuwatapeli wananchi Wa Kigamboni zaidi ya mil 160 za...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Haifai kwenda kununua pikipiki mjini, kwakuwa ukitoka dukani unakamtwa kwa kuwa hauna kibali cha kuingia na kutoka, hapo lazima mlungula ukutoke. Sasa kwanini haya maduka ya pikipiki...
4 Reactions
38 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…