Tushirikishane kuhusu hili

Tushirikishane kuhusu hili

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,345
Habari...naomba tushirikishane,je mikoa ipi/ wilaya zipi nzuri kwa kufanya biashara. Ondoa Dar.

Na pia naomba mwenye ile chati inayoonesha data za hali ya uchumi kwa kila mkoa.

Asanteni na karibuni.
 
Back
Top Bottom