kunze
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 400
- 472
Wadau,
Jana Mahakama ya Kisutu Dsm,ilitoa hukumu kwenye kesi ya madai ambapo Mkurugenzi Wa hamlshauri ya Mbinga aitwaye Gombo akituhumiwa kuwatapeli wananchi Wa Kigamboni zaidi ya mil 160 za viwanja ambazo alilipwa ili awalipe baada ya kupimiwa viwanja huko.
Mkurugenzi huyu ambaye hana ushirikiano na wana habari anapoulizwa kuhusu ukweli huu,amekuwa akitaka kuwanyamazisha wakazi hao Kwa maneno ya kuwa yeye sasa ni Mkubwa serikalini.
Ombi: tusisahau kuwa,cheo ni dhamana,ukinyang'anywa utarudia maisha ya kawaida tu.