Urgently: Msaada wa damu group O. Operation inaendelea

Urgently: Msaada wa damu group O. Operation inaendelea

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
899
Reaction score
1,239
Blood wanted urgent

0 Negative
Ongoin operation needs 1 to 2 pints urgently

Contact

0787713336
 
Ungetaja mkoa hata mimi na group 0negative ingesaidia mtu kujitolea kuwa operation inaendelea muhimbili au hospital flani iko sehem flan anahitajika mtu wa kujitolea au anaget payed ingerahisisha
 
Mimi ni A- ila ungesema uko wapi tungejua naman ya kusaidiana faster
 
Pole sana mkuu, haya mambo bana, yan mgonja wako anaweza akampa damu mtu yeyote ila yeye anapokea kutoka kwa group lake tu, daaa mwenye vigezo ajitokeze wadau, hakika utalipwa na mungu.
 
HATA MIMI NINA 0- NA PIA NDUGU ZANGU WENG NI 0- NA +, LAKINI HUJATOA ANUANI MKUU
 
Nimewasiliana nae amesema Damu haihitajiki tena!!

pia nimemwanbia aje hapa jf ku update.
 
Sema uko wapi swahiba kabla sijaenda kugonga vyombo nisogee nna damu ya kutosha tu na nasikia faraja kutoa msaada nyakati kama hizi.
 
Hiyo simu aliyoweka ingetumika kumpigia labda ingesaidia inawezekana kwa sasa yupo kwenye mazingira ambayo hawezi kusoma haya maoni
Sasa hapatkan tunamsaidiaje? Mungu ampe nguvu. Pengine ni mke wake anakifanya hapo ana haha kuokoa maisha ya mama na mtt.

Ama ni ndg kapata ajali uwiii
 
Back
Top Bottom