Benki ya Mwingira nani anaweka hela humo??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Benki ya Mwingira nani anaweka hela humo???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Mar 16, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,452
  Likes Received: 5,702
  Trophy Points: 280
  Wapendwa
  kuna hii benk ya mwingia inaitwa efwata..kumekuwa na maneno mengi yakiongelewa na ntumishi kuhusu mh ambilikile wa loliondo tapeli..nk..sasa najiuliza yule babu na 500 unapona na huyu alieanzisha bank nani tapeli..na je kuna ukweli mtu anaepeleka hela hapo maana kanisan ibada kila siku wanahimiza wana efwta wapeleke hela zaao pale..yamkini dunia inapita tuwen makini na hizi bank yasijepita yaliotokea bank moja pale posta watu wakalia
   
 2. Clarity

  Clarity JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2011
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 811
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 80
  Tena anasisitiza waumini wapitishe mishahara yao pale ili iwe rahisi kukata fungu la kumi
   
 3. MFUKUZI

  MFUKUZI JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 932
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Kwa kweli sijamuelewa huyu jamaa anayejiita Mtume na Nabii Mwingara!! Anamlaumu babu wa loliondo kisa anaponya watu kwa shilingi 500 tu. Naomba kabla hajamunyooshea babu kidole aangalie boliti lake na ajiulize maswali yafuatayo!!

  1. Ni nani aliyemtabilia Mwingira kuwa atakuwa Nabii?
  2. Ni Mungu yupi aliyempa huo Utume na Unabii.?
  3. Biblia inasema tajiri kuuona ufalme wa mbingu ni ndoto, yeye anatembelea magari ya kifahari na anakaa kifahari kuliko hata viongozi wa serikali, hilo hajui?
  4. Yeye ni bepari, maana anamiliki majumba na maeneo makubwa ya ardhi, Sijawahi kusikia Mtume yoyote anakusanya mali kiasi hiki badala ya kutoa huduma?
  5. kwanini anamwonea donge huyu babu, kama yeye anaweza kuwaponya kwa hiyo roho yake awaponye waumini wake kwanza, ndo aanze kumponda babu!!!1
   
 4. L

  Laura Mkaju Senior Member

  #4
  Mar 16, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mhh! afadhali ya babu
   
 5. L

  Laura Mkaju Senior Member

  #5
  Mar 16, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naungana na Mkufuzi, mtume na Nabii ameanza kuingiwa na mashaka waumini wananweza kuhamisha pesa zao kwenye benki yake wakapeleka kwa babu
   
 6. g

  geophysics JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  .

  babu anaumiza vichwa vya watu wengi....si mchezo...pengo nae yupo na huyo anayejiita nabii.... Masheh nao pia, baadhi ya wachungaji na maaskofu pia...we acha tu...watanzania hatutakaa tuendelee..wivu ndo tatizo

   
 7. A

  Anold JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Hiyo benki awali mwingira alikuwa ameisajili Benki Kuu kama mali yake binafsi, hata hivyo mungu ashukuriwe kwani Benki kuu ilikataa na kufanya benki hiyo ianzishwe kama chombo cha taasisi ya EFATA pamoja na ukweli kuwa hiyo EFATA Benki inamilikiwa na taasisi ya EFATA, mwenye maamuzi ya mwisho ni Mwingira hivyo hakuna anayeweza kuhoji au kukataa mwingira anachoamua. Inapofikia kumjadili Mwingira napata shida sana kwani miaka ya 1996 alikuwa anafanya kazi ya kuhubiri kwenye mikutano ya nje iliyokuwa akiandaliwa na KKKT aliwahi kutamka kuwa yeye kamwe hataanzisha kanisa lake binafsi, hata hivyo mambo yalibadilika baada ya kunyimwa mshahara wa mwezi na mchungaji wake kiongozi (KIBAHA) kutokana na kukosekana eneo lake la kazi bila ruhusa akiendesha mikutano ya injili bila radhaa ya KKKT, kioja alichokifanya mwingira ni kugombana vikali na mchungaji kiongozi kiasi cha kutaka kumpiga(nafikiri alimpiga kibao) tuhuma zake zilifikishwa Dayosisi ya mashariki na Pwani askofu akiwa Mzee Sendoro kuepusha shari mwingira akiwa kama mwinjilisti mshari alihamishiwa Zanzibar kitu kilichomuudhi sana mwingira kwani hakukubali uhamisho huo hivyo alichukuwa majoho ya kichungaji(mwinjilisti) na kwenda kumtupia mchungaji kiongozi wa usharika aliokuwa anauhudumia mwingira na hivyo ndiyo alivyotoka mwingira KKKT.
  ndiyo maana kwenye mahubiri yake mengi hukandika kanisa ka KKKT kwakuwa hakuondoka kwa amani ameondoka kwa kiburi na dharau.sina uhakika kuwa ametubu dhambi hiyo ila alipoibuka alikuwa mtume na nabii mapaka leo.
   
 8. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #8
  Mar 16, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,590
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  Our country, our people
   
 9. M

  MZAWATA JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hakuna cha nabii wala nn, huyu ni tapel tu hana lolote, na kwa kwel inahitaj umakin waa hal ya juu na watu kama hawa, huyu jamaa kwa ujumla ni tapel wa kiiman na kama waumin msipokuwa makin mtatapeliwa mpaka roho zenu kama kibwetere alivyofanya
   
 10. k

  kishanshuda Member

  #10
  Mar 16, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  dahhhhhhhhhhhhh. aiseeee huyu Mwingira ni balaa, kumbe kuna mengi chini ya kapet haaaaaaaa, aiseee, ni balaa kubwa hilo, wana JF ebu tufungueni macho cie ambao hatujui hayo. ahsante sanan kwa haya,
  ebu wamuache babu wa watu atibu jaman, mbona wao na uwongo na wiz wao cie hatusem au wanadhan twafurahia , haaaaa

  kip it babu, tibu kwa wotw wataokuja wahitaj kwan watu wamechoka teseka na magonjwa sugu mweeeee
  na we mwingira nenda kanywe walau kikombe upone hilo gonjwa lako na mengineyo yanayokusumbua :lol: ....................shwain kabisa wwe :smash:

  sahme upon yu Mwingira :embarassed2:
   
 11. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #11
  Mar 16, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,173
  Likes Received: 1,175
  Trophy Points: 280
  jamani mwingira ana shule ya secondary,bank,shamba la mifugo huko sumbawanga na miradi mingine ,je babu ananini.tunahitaji watanzania waliopona iliwazalishe na tupate kuendelea sio wagonjwa nasema hivi kwa sababu watu wanapungua kanisani,yaani wagonjwa wanaishia kwa babu .mwingira anaona shida sana hali hii.pia kuompea sio lazima useme yesu na kila mtu asikie asome mathayo kuhusu kuomba au kutoa sadaka je jirani yako anatakiwa kujua au kusikia.je unamuomba mungu au mtu aliyejirani
   
 12. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #12
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  wanawe wanasoma kenya huko na siku moja alimsimamisha mbele ya waumini na kumsifia sana mwanae anajua kiingereza na anakili sana na kipindi hicho kilirudiwa wiki nzima kwenye TV yake ya TRENET,nlikuwa naenda kwake mara chache ila mahubiri yake yaliniboa nkamwona msaniii sijawahi tena kukanyaga kwake,Kwa kakobe pia nimeenda hata kwa mama rwakatare siku nikiwa na muda j2 kujua wanachohubiri wote kwa kweli ni wasanii na pia wanatumia nguvu za giza hapo hakuna cha kubisha,Mungu ghani anahubiri utajiri kila siku? MUngu ghani hataki tupitie mateso wkt Yesu mwenyewe alisema tukitaka kumfuata tujikane wenyewe na tubebe misalaba yetu tumfuate,,hata yy mwenyewe ailipitia mateso makali ili tukombolewe.Nani asiejua kakobe ukimfuma ktk chumba chake akisali hataki mtu aingie na kuna habari kuwa anakuwanyoka au simba ushahidi tafuteni kwa waumini wake waliogundua hili wakaasi,vipo visa vingi tu vya hawa watu wote wanaishi maisha ya kifahari sana wkt Yesu alisema mwenye kanzu 2 ampe mwenzie moja na pia alisema tukitaka kumfuata tuache yooooooooooooooooooteeeeeee saas waao wameacha nn?????? hivi kuna nabii kweli hapa????? sasa wamekosa watu baada ya babau kuibuka MUNGU ANAWAUMBUA TARATIBU HAWA WANAFIKI NA WATAKUFA KIFO CHA AIBU SANA.
   
 13. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #13
  Mar 16, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hapa mi napita tu
   
 14. howard

  howard Senior Member

  #14
  Mar 16, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kazi ipo sasa na bado mengi yatafichuka kwa watumishi wa mungu babu endelea na kazi ya kuponya. Huyo mwingira alisema sheikh yahaya amekufa kule kwenye mahubiri yake kibaha mzee wa watu mpk leo anadunda tu. hatari???????????????????????
   
 15. Venant Ben

  Venant Ben Senior Member

  #15
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mhhhh!!!kwa mtindo huu bac watu tutaogopa kwenda kanisani!
   
 16. B

  Bi. Mkora JF-Expert Member

  #16
  Mar 16, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Mmh!! Babu kaleta kizaazaa.
   
 17. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #17
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Watake wasitake, wanune wasinune babu wa loriondo kawapiga bao la kisigino na sasa wameingiwa na hofu ya kupoteza wafuasi hasa wale wenye roho nyepesi. Wanamuona babu kama kikwazo. Adui muombee njaa.
   
 18. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #18
  Mar 16, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  our ;leaders,our resources
   
 19. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #19
  Mar 16, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  pia ana chuo cha security ambacho ndo huwa anawatoa walinzi wa kanisani,bank na kwenye miradi yake mingine,kipo kibaha
   
 20. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #20
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mwingira ana roho ya yule ADUI WA KALE
   
Loading...