Anayesafiri na private kwenda Arusha

Anayesafiri na private kwenda Arusha

Joined
Dec 17, 2015
Posts
12
Reaction score
2
Habari wakuu.

Naomba kama kuna mtu yeyote anayesafiri na private na ina nafasi ya watu wawili kuelekea Arusha na Moshi siku ya ijumaa asubuhi na mapema tuwasiliane tafadhali.
Mabasi yamekuwa mtihani wadau.
 
nafasi hakuna zimejaa as wanasema hadi 27 ndo kuna nafasi.....
Wale ni waongo,nenda ofisi yao pale studio nafasi zipo kibao au ni pm nkuelekeze juzi nimeenda nikaambiwa zimejaa za karatu nikaenda kinondoni zilikuwepo nyingi me ndio nlikuwa wa kwanza,yule dada mweupe anataka watu wajiongeze.Ni pm namba zako me ni nimekuja jana na jana asubuhi walikuwa wanaziuza pale dar ex[press
 
Wahi Ubungo au kwenye office za magari husika saa11 alfajiri siku yoyote kuanzia kesho utapata ticket ktk gari hizo hizo ulizoambiwa zimejaa ila uwe tayari kulipa nauli kiwango tofauti na walichopanga SUMATRA.miaka yote ni hivyo hakuna buses zinazojaa siku nne kabla ya safari zimekuwa ndege?ni janja yao ili wapate maslahi makubwa.
 
Back
Top Bottom