Nilitegemea Wakati huu mgumu kanisa ndo linisaidie, ila lenyewe ndo wameongeza sadaka

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,969
6,460
Tushauriane wale tulioguswa na usisitwizwaji wa sadaka katika wakati huu mgumu , mi nilijua wangenipiga maombi mambo yanyooke ila ndo wanazitaka hata hizi ndogo ninazopata
 
hakuna imani isiyoamini sadaka...hata kwa mganga kuku wa blue lazima...kuna kitu nyuma ya sadaka
 
Unafikiri mafita na pesa za burudani watatoa wapi? Tena ujue na wao vyuma vimekaza. Toa sadaka Mkuu watumishi wale burudani.
Huwezi kuvuna kama hujaotesha nà kutunza dem----------t
 
Niko kidato cha kwanza nimeingia kanisa la mchungaji Swai (Kwaya ya hilo kanisa iliimba wimbo maarufu wa kwanini unataka kujiua) mara mchungaji anadai hakubaliani na wanaotoa sadaka 500, inabidi watoe zaidi.

Nikakusanya kilicho changu sikurudi tena kanisani, sikuja kuanzisha uzi jf
 
Back
Top Bottom