Wakuu habari zetu.nianze kwa kusema hivi.
Poverty is not the state of material things, is the state of mind.
It’s not the absence of the necessity of life, it’s a state of mind, Africa has the...
Tarehe 27/09/2017
Mishale ya saa 11 nanusu jioni, kuna dingi mmoja hivi makamu ya miaka 45 hivi, alikuja kwangu tukawa tunapiga story tofauti maana yeye nimtu wa story sana
Sasa kwenye story...
May the miracle of Christmas fill your heart with warmth and love.
Christmas is the time of giving and sharing.
It is the time of loving and forgiving.
Merry Christmas to Everyone
Niende straight kwenye mada husika.
Kuna hii tabia ya kuongea na simu ktk halaiki ya watu, let's say mpo ktk daladala, unakuta mtu anaongea na simu yake masuala private ya nyumbani kwake kwa sauti...
Kama kichwa kinavyojieleza
Hata siku moja usije ukamlaumu, kudhihaki,kumtukana au kumpa kejeli mtu wa aina hiyo ujue amepitia au anapita kwenye changamoto nyingi sana, swala linalopelekea...
Jamii yetu mara nyingi imekuwa ikikemea na kulaani tabia ya dada zetu kuuza miili yao kwa lengo la kujipatia fedha biashara ambayo hata serikali imekuwa ikiipiga vita na kuiilani.
Si hivyo...
Haikuwa kitu cha kawaida kwa mkuu wa nchi kutaja jina la mfungwa, lakini ni mwendelezo wa maajabu yaliyowahi kumkuta Matonya katika maisha yake ya gerezani. Mara ya kwanza alifutiwa adhabu ya...
Ofisa Mfawidhi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra) mkoa wa Kigoma, Amaniel Sekulu amesema miili sita ya watu waliozama katika ajali ya boti kugonga mtumbwi katika...
Katika kila tarehe 25 ya mwezi Disemba ya kila mwaka, wakristu ulimwenguni kote huwa wanasheherekea sikukuu ya krismas. Ni moja ya sikukuu kubwa zaidi ulimwenguni kote. Pamoja na umaarufu wake...
Tanzania ina maajabu yake japo hayajaweza kuandikwa, pengine kama nchi hii ingekuwa bara la wazungu basi nchi hii ingeandikwa katika kitabu cha maajabu kwa baadhi ya Mambo.
Sanjari na kuenea kwa...
Wanabodi,
Kama ni kweli Ngwajima ana waumini wasiopungua elfu sabini na wanaenda kanisani mara mbili kwa wiki basi Ngwajima anaingiza zaidi ya bilioni tatu kwa mwaka (makadirio ya chini kabisa)...
Umemaliza chuo na mpaka sasa hujapata sehemu ya kujishikiza unaamua kutoka kwenu kijijini unaenda mjini. Huko mjini unafikia kwa mshikaji wako au ndugu yako aliefanikiwa kiasi. ..amepanga anaishi...
Mwaka 2005 ndio sarakasi za TTCL zinapochanua.Chanzo cha Tatizo inaonekana ni wajumbe wa Bodi watano kati ya wajumbe wote 9.
Embu tukumbushane wenye kumbukumbu wajumbe hao wa Bodi 9 kwa majina...
Raisi wa Zanzibar na Mwenyekiti Wa Baraza La Mapinduzi, Dkt Ally Mohammed Shein amewapa zawadi ya Shilingi milioni tatu, na kiwanja kimoja kwa kila mchezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar...
Kheri ya kristmas Na mwaka mpya!
Wapendwa Mimi naomba tupeane taarifa Na kuelimishana kuhusu maswali Haya:
1.je wajua chama chetu CDM kinapata ruzuku shs ngapi kwa mwezi?
2.je wajua tunalipia...
Moja ya sababu zangu kufuatilia masuala ya elimu ni imani kwamba tukiboronga kwenye elimu tunaathiri watu wengi na vizazi vingi sana.
Mtakumbuka serikali yetu kupitia wizara husika imepiga...
Habari za wanajamvi?
Mwaka 2017 ndiyo huo unaelekea mwisho. Kama ilivyo kwa miaka mingine,mwaka huu umekuwa na matukio mbalimbali ya kuvutia,kufikirisha na hata nyakati ngumu pia. Hii ni katika...
Habarini wadau,km heading inavyojieleza hapo juu nina jamaa yangu mmoja ameoa mahala fulani na binti aliyemuoa ana dada ake ambae amezaa mtoto mtoto.
Kawaida kwa kwetu tz km ukioa na mkeo...
BOT wametamka kwamba hawatasimamia wala kuingilia swala la RIBA inayotozwa na mabenki watakapokupa mikopo, kwa maana hiyo hawatazilazimisha benki kupunguza au kuongeza RIBA! BOT wanadai soko...
Ndege kubwa zaidi duniani ambayo inaweza kutua na kupaa kutoka kwenye maji imefanya safari yake ya kwanza kwa saa moja.
Ukubwa wa Ndege hiyo ya China AG600 unaweza kukaribiana na Boeng 747 na...