Ni kitambo hatujawasiliana kutokana na mimi kwenda kusoma nje ya nchi
Nimemtafuta kwa social network lkn hayuko active mana last status ni ya miezi tisa nyuma
Kwa yeyote anayemfahamu huyu m2 ani pm
Mh Waziri wa Mambo ya ndani
Ukweli nilitamani sana nikupe salaam za Christmas lakini nashindwa kwani bado ninajisikia vibaya hususani kwa yale yaliyotamkwa dhidi ya Rais wetu Mh Dk John Pombe...
Watumishi mtakumbuka Mh. Rais aliagiza watumishi 59,000 waliopandishwa MADARAJA warekebishiwe MADARAJA na mishahara yao. Katibu Mkuu Wizara Utumishi aliagiza wale wote wenye barua ya Kupandishwa...
Haya jf mmeniungulia kutoka kifungoni je kum-ban member pasipo kumpa haki ya kujua kosa lake na kupewa haki ya kusikilizwaaaaa??
Hiyo siyo demokrasia ni mabavu mkijisikia tu au mkiwa na hasira...
Kiukweli nimevutiwa na utendaji kazi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha ila kitu ninachojiuliza kwanini ana ubunifu katika maendeleo ya Mkoa juzi nimetoka hospital mmoja mjini kitu cha kushangaza kuna...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wametangaza kumtafuta Beatus Malima ambaye ni mhadhiri wa Chuo Kikuu kitengo cha sheria na pia ni wakili wa kujitegemea katika kampuni ya...
[emoji121]
WAKUU,
NIMEJARIBU KUTAFAKARI TU,
HIVI KUNA UHUSIANO GANI KATI YA MUZIKI WA SINGELI NA WATOTO WA KIUME KUBINUA MAKALIO JUU KAMA NGEDERE?!?!
HIVI HAIWEZEKANI KUCHEZA KIVINGINE BILA...
Nimekuwa nasikia baadhi ya watu sijui niwaite apologists au advocates wa chama kile wanasema kwamba, wanaolalamika grisi kupanda bei ni wale ambao ni wakipiga dili.
Lakini kwa observation yangu...
Siamini mpaka sasa sijapata mualiko hapa mjini, bora ningekuwa kwetu ningeshaalikwa nyumba kadhaa au kuletewa msosi mpaka ghetto, lakini huku kwenu ni balaa, nimefikia kwa jamaa yangu na yeye...
Salaam waungwana
Heri ya krismas na mwaka mpya
Nina wazo naamini humu viongozi wa kiserikali hupata muda na kupitia mawazo mbalimbali yanayoletwa humu
Mimi nina wazo kama tunataka Tanzania...
Hivi kuna utaratibu mpya wa Matumizi ya Barabara tajwa.....!!!!
Nimekuta Askari wa Usalama Barabarani pale Junction ya Mawasiliano wakikamata magari na kuwatoza faini wakidai kwamba...
Kwa makala nyingi nilizozisoma sioni uwezekano wa kupata suluhu ya kumaliza mgogoro kati ya waparestina na waisrael(wayahudi) .hii inatokana na na asili ya mgogoro na references.zinazotumika...
Viongozi wa kijamii katika mji wa Rajasthan nchini India wanasema mtu mmoja ambaye ni muislam ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaoamini ng'ombe kuwa mungu wao.
Ummar Khan alikua akisafirisha...
Singapore firm to redesign Arusha City
Construction works start next year
Slums to give way to high rise buildings
By Staff WriterSurbana International Consultants (PTE) this week inked a...
Fikiria hilo, nchi ya Tunisia imefuta Safari zote za Shirika la ndege la Emirates, kosa ni Shirika hilo kudhalilisha Wanawake wa nchi yao, yaani Mwanamke wa Tunisia alizuiwa kupanda ndege hiyo...