Watu wa dar acheni uchoyooooo

Watu wa dar acheni uchoyooooo

Uchunjuba Punjubi

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
799
Reaction score
624
Siamini mpaka sasa sijapata mualiko hapa mjini, bora ningekuwa kwetu ningeshaalikwa nyumba kadhaa au kuletewa msosi mpaka ghetto, lakini huku kwenu ni balaa, nimefikia kwa jamaa yangu na yeye alipata dharura akasafiri kikazi, akaniacha peke yangu nikategemea labda majirani watanijali lakini waaaaapi, mpaka sasa ngoma drooo, patupu bora kesho nirudi kwetu kolomije, nilikuja kutibiwa nishaponaa.
 
Wewe ulimualika nani au unasubiri kualikwa tu?
 
Yaani Nimecheka Kimsingi Dar Kama Huna Ramani Usiende Kabisa Huko Hata Ndugu Yako Akitoka Mkoani Ila Akifika Huko Akili Zote Zinabebwa Na Wazaramo
 
Usiendekeze njaa mjini, mjini ni kama jela tu, unaweza pewa msosi ukala, ukavimbiwa,ukalala ukalaliwa
 
Pole mkuu, maisha yetu ya Dar njiani mapedeshee na walimbwende, home misosi issue, njoo baada ya miaka 3 au 4, labda jiji litakuwa linateleza kwa grisi...
 
Yaani Nimecheka Kimsingi Dar Kama Huna Ramani Usiende Kabisa Huko Hata Ndugu Yako Akitoka Mkoani Ila Akifika Huko Akili Zote Zinabebwa Na Wazaramo
Nimekoma kabisa mkuu, nishazoea kwetu mkoa hakuna uchoyo kama huu, yaani hata kijisahani cha uongo na ukweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom