JMWAKA
JF-Expert Member
- Jun 18, 2012
- 739
- 654
Salaam waungwana
Heri ya krismas na mwaka mpya
Nina wazo naamini humu viongozi wa kiserikali hupata muda na kupitia mawazo mbalimbali yanayoletwa humu
Mimi nina wazo kama tunataka Tanzania ya viwanda tuache sound shule zote za kata zibadilishwe ziwe za ufundi na shule za private nusu yake ziwekewe sheria ziwe za ufundi sababu elimu yetu ya madaftari haina msaada wowote kwa nchi kukariri hakusaidii watoto wafundishwe kazi hapo tutajenga nchi la sivyo tutakuwa na sera kila mwaka hazitekelezeki
Wasalaam