*SHEIKH AHMED ISLAM NIMJUAE*
*Ramadhani K. Dau*
Ilikuwa siku ya Jumamosi tarehe 23 Disemba 2017, majira ya saa 5 usiku kwa saa za Malaysia nilipopata ujumbe mfupi wa sms kutoka kwa *Sheikh...
Nimekuwa na shauku ya kujua nini kitafanyika kuhusiana na jina la sasa la 'Airtel'..kwamba itakapotokea TTCL imeichukua kampuni hiyo, je, jina litaendelea kuwa lilelile au litabadilishwa...
Mwaka mzima kumalizika si mchezo kwani una siku nyingi kuruhusu matukio mengi kutokea. Matukio ya watu wasiojulikana yalikuwa ya kipekee katika nchi yetu kutokea, hayakuzoeleka, bali tuliyasikia...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amewataka Wakuu wa shule mbalimmbali mkoani humo kuhakikisha fursa zinagawanywa kwa usawa kwa walimu wote na kutaka dhana ya walimu wanaojipendekeza tu kwa...
Msichana huyu anayejiita Prety Kind amedai alipewa na rafiki yake mchongo wa kupelekwa India kwa mwanaume ambaye amempanda na atakuwa anamhudumia mahitaji yake, kufika huko akakuta mambo tofauti...
Meya wa Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, Raymond Mboya amekanusha tetesi za kujivua wadhifa wake na kuhama CHADEMA kisha kuhamia CCM na kufafanua kwamba wanaofanya hivyo hawazitendei haki...
Habari Zenu Wakuu Boxing Day Kwa Wenye Pesa na Ni Juma4 ya Kiharakati Kwa Watafutaji
"Niende Moja Kwa Moja Kwenye Mada Mezani. kama wewe Ni Mmoja Wa Watumiaji Wa Usafiri wa Public transport Ni...
Kiongozi kusema uongo wa wazi kabisa huku akijua kabisa kua ni uongo ili tu kujiongezea sifa ni jambo ambalo linaendelea kushika kasi hapa kwetu.
1. Tuliambiwa sukari mwaka 2015 ilikua 5,000 kitu...
Ningeweza kuwachukua picture kama Jerry Muro nami ningefanya hivyo, nimejionea kwa macho yangu Traffic wakichukua Mlungura usiozidi buku jero.
Kutokana na huaba wa usafiri ktk kipindi hiki cha...
Salaam wana JF
Kwa mtazamo wangu naona kutumia pesa nyingi na lasrimali nyingi Kwa ajili ya sikukuu kuliko kipato chako ni ushamba mkubwa.
Maana wanabaki na madeni makubwa Kwa sababu ya kutumia...
Kwa average CHADEMA fan anafikiri kwamba Tundu Lissu anajulikana Dunia nzima na kwamba Tanzania yetu ni Tundu Lissu. An average CHADEMA fan anachanganyikiwa akisikia Tanzania inaongelewa na hakuna...
YADAI ASKOFU KAKOBE ALITUMIA VIPIMO AMBAVYO SI SAHIHI
BAADA ya waumini kulinda majengo ya Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF) kwa takribani siku 77, mpambano na vyombo vya dola...
Mkuu wa wilaya ya Mbulu mkoani Manyara, Chelestino Mofuga amemtaka mkazi wa kijiji cha Tumati, Faustina Boay ambaye kwa miaka 27 alitengwa na wananchi wa eneo hilo kwa imani za kishirikina...
VIDOKEZO MUHIMU VYA AFYA NA USALAMA.
#Kwa Hisani ya kumaliza mwaka 2017.
#Mtatiro J
1. Pokea simu kwa kutumia sikio la kushoto. Zungumza na simu mara chache na kwa muda mfupi, tumia zaidi...
Habari za siku hii njema wana JF
Nilikua natafakari tu kwa maandishi, ukiwa mtu mzima lazima unapoenda mbele inafika mahala unasimama na kutafakari na kushughulika changamoto zote ulizozipata...
Ukipanda mahindi usitegemee kuvuna mpunga, Nimefatilia kwa undani vifo vya viongozi wengi wale waliofikia vyeo vya Juu vifo vyao vimegubikwa na Utata mkubwa sana Huku Uhalisia wa taarifa juu ya...
Moja ya Magazeti nguli yenye kuaminika na kuogofya lilikuwa ni Gazeti LA Mwananchi kupitia kampuni yake ya MCL lakini nathubutu kusema gazeti hilo kwa sasa limelishwa limwata limekuwa kama mbwa...
tiGo hawajawahi kuacha kuonesha maajabu aisee...
unaweka 'jero' kwa simu yako ambayo haina internet (data off), haujapiga na hata kutuma SMS, lakini Salio linakwisha kwa mnunurisho..
Jamaa...