Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,583
- 27,838
Kwa average CHADEMA fan anafikiri kwamba Tundu Lissu anajulikana Dunia nzima na kwamba Tanzania yetu ni Tundu Lissu. An average CHADEMA fan anachanganyikiwa akisikia Tanzania inaongelewa na hakuna anayeulizia kuhusu Tundu Lissu.
Kwa CHADEMA fan hii haingii akilini, alishakuwa brain washed kwamba Dunia nzima inaugulia na Tundu Lissu, sasa wanahoji eti AK hawajui kuhusu Tundu Lisu kwa nini wamempa Raisi wetu Tuzo. I mean, come on children, hakuna anayemjua Tundu Lissu Dunia hii, acheni kujidanganya, ...