Nini hatima ya jina Airtel iwapo TTCL itaichukua Kampuni hiyo?

CHA The GREAT

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
652
1,000
Nimekuwa na shauku ya kujua nini kitafanyika kuhusiana na jina la sasa la 'Airtel'..kwamba itakapotokea TTCL imeichukua kampuni hiyo, je, jina litaendelea kuwa lilelile au litabadilishwa? Ifahamike, jina la Airtel linatokea na lina asili ya India.

Je, wafanyakazi wanaotumikia idara ya huduma kwa wateja 'call center' ya Airtel na ambao wapo chini ya kampuni ya uwakala wa ajira (outsourcing company) inayoitwa ISON BPO, nao hatima yao itakuaje?---Keep in mind, wafanyakazi wote wa idara ya huduma kwa wateja wote wanaohudumia wateja wa Airtel hawana mkataba wa ajira na Airtel, bali wana mkataba na kampuni hiyo ya uwakala wa ajira, inayoitwa ISON BPO. Kadhalika ISON BPO asili yake ni India.
 
Kingdavi.ii

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
1,181
2,000
Watachukua ili iweje ?
Umewaona au kusikia airtel wakikanusha au kujibu , na unadhani wataachia kirahisi ?
Fikiria MTU anaua au anakamatwa na kidhibiti (ushahidi) lakini at a kuwe na mashahid dunia yote lakini bado atakataa kosa hii in ngoma mbichi na tatizo LA mkulu no kukurupuka kutangaza vitu bila kujipanga mwisho wa siku patupu kama kishika uchumba cha makininikia
 
MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,755
2,000
Nimekuwa na shauku ya kujua nini kitafanyika kuhusiana na jina la sasa la 'Airtel'..kwamba itakapotokea TTCL imeichukua kampuni hiyo, je, jina litaendelea kuwa lilelile au litabadilishwa? Ifahamike, jina la Airtel linatokea na lina asili ya India.

Je, wafanyakazi wanaotumikia idara ya huduma kwa wateja 'call center' ya Airtel na ambao wapo chini ya kampuni ya uwakala wa ajira (outsourcing company) inayoitwa ISON BPO, nao hatima yao itakuaje?---Keep in mind, wafanyakazi wote wa idara ya huduma kwa wateja wote wanaohudumia wateja wa Airtel hawana mkataba wa ajira na Airtel, bali wana mkataba na kampuni hiyo ya uwakala wa ajira, inayoitwa ISON BPO. Kadhalika ISON BPO asili yake ni India.
Acha uongo airtel ni Kiingereza pure na halina asili ya india
 
Mr Easy

JF-Expert Member
Jan 16, 2016
1,528
2,000
Kwanza ujue ni ndoto kama hizi nyevu kuota upo na mtoto mzuri umemkumbatia kumbe masikini upo na shuka tu.
Baada ya kushindwa na wale wanaume wa kanada alioitangazia dunia kuwa tunawadai pesa sawa na noah moja kwa kila mtz, baadae kushushwa kutoka noah ya mill 17 hadi balimi 4 ambazo ni sawa na 6000 kwa kila mtz, japo alisema ana haraka na hizo pesa but wanaume hawajalipa hadi leo na sijui kama tutalipwa.
Kwa hiyo leo kaamua arukie Airtel, nayo pia ni kina kirefu vilevile, ni ndoto tu kama nyingine.
 
MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,755
2,000
Hakuna neno la Kiingereza ama nomino ya Kiingereza kwenye kamusi ya Kiingereza inayoitwa 'Airtel'.....Jaribu kuelewa unachokisoma na usiwe mwepesi kumwita mwenzako 'muongo'. Wewe ndiye muongo kwa kusema..'airtel' ni Kiingereza pure.
Air ni Kiingereza na
Telephone - tel ni kiingereza
 
CHA The GREAT

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
652
1,000
Air ni Kiingereza na
Telephone - tel ni kiingereza

Wewe sijui vipi!....hapa tunazungumzia 'Airtel' ama 'Air + Telephone'; na unapoambiwa asili unajua au kuelewa maana yake? Usikurupuke, kaa chini, tafakari kabla hujaandika kitu, otherwise you will always become a figure of fun.
 
kivava

JF-Expert Member
Apr 2, 2013
5,783
2,000
Sio rahisiTTCL kuipora Airtel,labda Zain na Celtale wawalipe
Usajili wa Airtel ulifuata taratibu zote za nchi
 
bily

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
8,035
2,000
Kama kwa ubabe itachukuliwa ila kisheria thubutu mjiandae kutafuta umaharufu mwingine maccm.
 
Genekai

R I P
Feb 9, 2010
12,532
2,000
Hivi bado kuna Watz mnadanganywa na mzee wa kukurupuka? Hakuna lolote litakalofanyika... Airtel itabaki airtel na TTCL itabaji TTCL.... jifunzeni kwa issue ya makininia!!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom