Traffic wanachukua hadi Buku?

Traffic wanachukua hadi Buku?

TzComedy

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
890
Reaction score
700
Ningeweza kuwachukua picture kama Jerry Muro nami ningefanya hivyo, nimejionea kwa macho yangu Traffic wakichukua Mlungura usiozidi buku jero.

Kutokana na huaba wa usafiri ktk kipindi hiki cha wachaga kwenda Matambikoni huko kwao, nimekuwa nikitumia sana malori yanayosafirisha Korosho toka mikoa ya kusini yani Lindi na Mtwara ninapokuwa na safari zangu za Dar, kupitia usafiri huu, nimejionea mambo mengi kwa maana ya manzuri, mabaya na ya kustahajabisha, lakini kati ya hayo yote lililoniacha mdomo wazi ni ili la Traffic kuchukua buku kila walisimamishapo Lory,

Lakini zaidi ya yote, inaonesha ndio utaratibu mana hata madereva wenyewe nimewashuhudia wakiomba chenji ya buku 10 ili wapate bukubuku ya kuwapa traffic.
 
Piga hesabu ya malori yanayopita Mara hiyo buku ndo utajua wanaondoka na sh ngp kwa siku. Hela nying sana
 
Huwezi pata hesabu ya Malory, mana yapo kwenye recycling.
 
Hayo ni matukio ya kawaida na yamezoeleka sasa, ila kituko mimi ambacho nilishakiona ni pale niliposhuhudia trafiki wa kike akimporomoshea mwenzake trafiki wa kiume matusi ya nguoni kutokana na trafiki huyo kusimamisha lori ambapo kwa uchunguzi wangu inaonekana walishakubaliana awali kuwa likitokea lori lolote ni zamu ya hyuo dada kulikamata . Kwa ukali haya maneno yalimtoka huyo dada" tulia hapohapo kama unanyolewa ma....zi" kwa kweli ilibidi nicheke tu, ila hali ndiyo hiyo. ile style ya wapiga debe wa vituoni kutabiri gari inayokuja aipigie bebe inatumika pia kwa wanausalama hawa
 
Ningeweza kuwachukua picture kama Jerry Muro nami ningefanya hivyo, nimejionea kwa macho yangu Traffic wakichukua Mlungura usiozidi buku jero.

Kutokana na huaba wa usafiri ktk kipindi hiki cha wachaga kwenda Matambikoni huko kwao, nimekuwa nikitumia sana malori yanayosafirisha Korosho toka mikoa ya kusini yani Lindi na Mtwara ninapokuwa na safari zangu za Dar, kupitia usafiri huu, nimejionea mambo mengi kwa maana ya manzuri, mabaya na ya kustahajabisha, lakini kati ya hayo yote lililoniacha mdomo wazi ni ili la Traffic kuchukua buku kila walisimamishapo Lory,

Lakini zaidi ya yote, inaonesha ndio utaratibu mana hata madereva wenyewe nimewashuhudia wakiomba chenji ya buku 10 ili wapate bukubuku ya kuwapa traffic.
Pesa ya brash ya viatu, tatizo lenu vijana wa kileo mnataka kila kitu muandike we umesaidiwa kaa kimya maneno ya nn?
 
Mbona wapo wasiochukua hela wanakuachia buree na gari huku ina makosa unaandika humu ili iweje wapandishe rushwa wenye magari waumie wewe unaetegemea lift huko kijijini umetulia tuu..
 
Mkuu mtoo Meter Hapo Isanga bado Upo au ulisha kauka?
 
Madereva wa malori nao wanakua wamejaza abiria hivyo wapo kiroo safi kutoa bukujoro kuliko kupigwa cheti
 
Kiwi si ya buku tu kwa nini wachukue zaidi kwa kichwa/gari kimoja?
We we ukiwa na safari Lindi-Dar kwa mfano, chukua 15,000 na ichenji iwe buku buku ni tiba ya 33m/s
 
Back
Top Bottom