ushauri ktk mtaji nilionao

ushauri ktk mtaji nilionao

kibovu

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
748
Reaction score
789
Heri ya Christmas wakukuu mm ni kijana Niko chuo mwaka wa 3 nmepitia masage za kaka zangu walionitanguria na wamemaliza chuo wakitegemea ajira sasa mm nmeona niombe mawazo yenu na ushauri Nina million 2 biashara gani naweza fanya pia nikaendelea na chuo ili nimalizie huwa naingia darsani jioni kuanzia saa11-3 usiku. naombeni ushauri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom